Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimeona tangazo la UTUMISHI kuhusu suala la uhamisho kwa wenza! Kiukweli inashangaza kuona tunaletewa drama na maisha yetu. Wapo watumishi wengi ambao maombi yao yako UTUMISHI AU TAMISEMI...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanajamvii Bwana yesu asifiwe! Leo ni jumapili siku ya ibada sisi KKKT ni siku ya watoto wetuu (ni sikukuu yao) moja vitu vinanikereketa moyo wanguu ni hawa viongozi wa serikali hii inayojiita...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho...
1 Reactions
4 Replies
434 Views
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mkurugenzi Mkuu Dkt. Irene Isaka pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Wadau hamja mboo? Niende moja kwa moja kwenye maada, kuna huyu ndege anaitwa dudumizi kwa menye kuujua ukweli wake atiririke hapa huyu ni ndege ana rangi ya kahawia na rangi nyeupe kifuani, Huyu...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
12 Reactions
113 Replies
4K Views
Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa...
7 Reactions
113 Replies
7K Views
Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Huwa ninawashangaa watu wanaojisifia makabila yao katika msingi wa damu. Naamini, kama vipimo vya DNA vingefanyika, kuna watu wangejishangaa kufahamu kuwa hawana uhusiano wa damu na kabila...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na...
1 Reactions
0 Replies
261 Views
Napensa sana mahubiri sema tukiwa tuko OK Hii kuwasha redio wote tunakoroma dk 30 unaanza kuweweseka kama jini mahaba amekupi1tia Mnatutisha wapendwa..... Embu tuwe serious n1a Mungu
1 Reactions
3 Replies
160 Views
Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa...
9 Reactions
83 Replies
19K Views
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo. Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
26 Reactions
150 Replies
11K Views
Mda unavyozidi kwenda naanza kuamini Waarabu na waajemi ni moja ya jamii za vurugu ambazo zikeshika Dola ya Dunia pasingekalika na naamini waarabu ni jamii za watu ambao hawatumii akili kutatua...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Katika harakati za mtu mweusi, nikaenda Ifakara, Morogoro. Sasa kufika hapo mchongo ukanitaka asubuhi niende Mlimba Morogoro pale Kihansi Hydropower. Nauliza wenyeji wanasema kwa “bus” ni kama...
35 Reactions
136 Replies
5K Views
Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani. Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena. Kuota upo kijijini kwenu na kuona...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini? NB; Uzi huu...
19 Reactions
238 Replies
5K Views
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela! Kuna video inasambaa...
13 Reactions
95 Replies
7K Views
Back
Top Bottom