Ndugu zangu wana JF nafikiri wengi tulipata kusikia Msemo wa nyota njema huanza kuonekana mapema.
Siku za nyuma kidogo nilileta uzi nilivyokutana na mwalimu wangu m- polish alikuwa akinifundisha...
Dar es Salaam, 29 Septemba 2024 – Tamasha la chakula la Coca-Cola Tanzania maarafu kama ‘Coca-Cola Food Fest’ limezidi kunoga huku muuzaji mmoja, maarufu "Baba Lishe," akiibuka kuwa kivutio cha...
Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja
1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako...
Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya...
Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni.
Nielekeze kampuni bora ya...
Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante.
Your package contains...
binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti,
haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu...
Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga?
Maana daah kuna...
Hawa wawili waligundua. Kuwa pamoja na kuwa Dini zao ni tofauti wanategemeana. Mmoja ana macho ya kuona kule waendako. Mwingine hajui ila aendako ila ana miguu ya kuweza mpeleka akioneshwa.
So...
Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali...
Dodoma ni Jiji linalokuwa kwa kasi sana na ni Mji wa Kiserikali kama ilivyo kwa Lagos, Nigeria na Pretoria, Afrika Kusini.
Kero mojawapo kubwa ambayo inakera kweli kweli ni kutopatikana kwa maji...
Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana
pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
Salaam wakuu.
Kwenye mada moja kwa moja.
Kwanini anga ni la BLUE kukiwa hakuna mawingu nyakati za Mchana na JEUSI nyakati usiku.
Wanasayansi njooni.
NB; Najua kuna wengine watasema ni...
Habari wadau na ma Hustlers wote , mwaka huu wa 2024 ndio upo ukingoni tumebakiwa na miezi michache tuufunge mwaka.
Mwaka huu ulivyoanza watu walikuwa na slogan ya mwaka wa Ku force, swali la...
UNA MIAKA 30? HII INAKUHUSU
Kwanza jua una miongo mitatu ( mafungu matatu ya miaka kumi kumi).
MUONGO WA KWANZA ( 0-10)
1. Hapa ulikuwa mtoto
2. Mwanzo wa shule ( kwa walioenda shule)
3. Hapa...
Iran ni ndugu zetu na Wana ubalozi hapa Tanzania nasi tulio wengi ni Mashia kama wao
Basi na tuwaombee wamsihi Ayatollah Ali Khamenei asiendelee kuwachokoza Wayahudi kwani ni hatari sana kwa...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank...
Bajeti ya TARURA yafikia Trilioni 1.3
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imetoa fedha takribani Sh. Trilioni sita tangu...
Wakuu,
Huduma za mtandao Vodacom zimerejea.
====
Huduma zote sasa zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunatanguliza shukrani kwa uvumilivu wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.