Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
2 Reactions
12 Replies
917 Views
Wakuu, ==== TAARIFA KWA UMMA Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi...
2 Reactions
11 Replies
660 Views
Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe. Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto...
18 Reactions
352 Replies
10K Views
Baada ya kukaa kwenye ualimu miaka miwili uko kigoma vijijini, hatimaye naanza kuona Mwanga kidogo kwenye maisha yangu, nilikua na idea nyingi sana za kuwekeza lakini mazingira niliyopo na aina ya...
6 Reactions
13 Replies
879 Views
Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa Huu ni uzi mfupi tu. Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la...
1 Reactions
17 Replies
411 Views
Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
stream of fire issued and came forth from before him; a thousand thousands served him, and ten thousand times ten thousand stood before him; the court sat in judgment, and the books were opened...
1 Reactions
3 Replies
322 Views
Sio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani. Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa...
1 Reactions
0 Replies
147 Views
Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni...
3 Reactions
8 Replies
521 Views
MRADI WA MAJI YA BOMBA WA KATA YA TEGERUKA: MKANDARASI KUONGEZA KASI YA KUKAMILISHA MRADI HUU Kata ya Tegeruka yenye vijiji vitatu vya Kataryo, Mayani na Tegeruka itatumia maji ya bomba kutoka...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating. Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu. Lina fukuza watu wasio wa...
23 Reactions
109 Replies
4K Views
Mfano mzuri ni leo mechi ya arsenal na leicester na mechi nyngne nyng muda wote roho mkononi.
0 Reactions
2 Replies
152 Views
Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga. Maeneo...
0 Reactions
10 Replies
347 Views
MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania. Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma...
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna tetesi za Mkulima wa mswiswi Mbarali kuuawa Kikatili na Wafugaji, kisha wakulima nao kuua Ngombe wengi Kikatili kulipiza kisasi.
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Habari Wana jamii forums. Kama nilivyotangulia hapo juu basi nipo hapa kuelezea magumu ninayoyapitia kwa Sasa maishani mwangu na sioni dalili ya kutoka katika Hali hii niliyonayo Sasa zaidi naona...
11 Reactions
84 Replies
4K Views
Back
Top Bottom