Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika ulimwengu wa leo tumeshuhudia Teknolojia ikipamba moto, sambamba na hilo wafanyabiashara na watumiaji wa bidhaa za biashara wamekuwa wakitafuta namna bora ya kuuza na kuagiza bidhaa kwa...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wazee wa location samahani mwenye kujua hiki kijiji hasa huduma za kijamii, mzunguko wa pesa na huduma zingine kwa ujumla naomba anijuze nataka nikapige kambi huko katika harakati za kutafuta...
1 Reactions
0 Replies
204 Views
Habari wakuu, hii ni taarifa na dukuduku kwa wakati mmoja. Ipo hivi, abiria wa TRC waliokuwa wakisafiri na SGR ya leo jioni kuelekea Dodoma wamelazimika kukaa station (kituoni) hapo kwa saa zaidi...
38 Reactions
167 Replies
5K Views
Tunafundishwa kua wavumilivu siku zote katika maisha yetu. Lakini kuna baadhi ya mambo ukivumilia unaonekana unawaapa watu picha namna ya kukuendesha. Kwa ufupi sio kila jambo unatakiwa...
7 Reactions
3 Replies
136 Views
Nimekuja na hii maada ili watu wapate kujua historia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu, inchi walizozaliwa na walikuwa wangapi, Hapa tunazungumzia Mitume wa Mwenyezi Mungu, siyo wanafunzi wa...
26 Reactions
294 Replies
15K Views
Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua...
2 Reactions
2 Replies
654 Views
Kama ilivyo kawaida yao ndugu hawa kila mwisho wa mwaka kuanzia tarehe 15 Desemba na kuendelea, huenda kuhesabiwa kwenye asili yao mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Majiji kama Dar es Salaam...
1 Reactions
2 Replies
113 Views
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki....... Wana ukumbi kila mtu anajua kero, visa,ubabe na wizi wa hii mitandao yetu tunayotumia kupata mawasiliano.....hivyo basi ni wajibu wetu kupeana...
1 Reactions
2 Replies
209 Views
In 2008, mfumuko wa bei ulifikia viwango vya juu sana, na kusababisha dola ya Zimbabwe kupoteza thamani yake na serikali kuiacha mnamo 2009. Tangu wakati huo, dola ya Marekani na sarafu nyingine...
2 Reactions
2 Replies
307 Views
Habari za wakati huu wadau. Kuna jambo nimejifunza kuhusu malezi ya watoto, mimi ni kaka wa wadogo wanne, na mimi ndyo first born. Pia mimi ni mtu ambaye napenda nidhamu na ukakamavu, kila...
17 Reactions
106 Replies
2K Views
Tumepokea taarifa kutoka kwa mwajiri, siku ya jumatatu kila mtumishi wa sehemu hiyo, afike na kadi/ kitambulisho cha mpiga kura na asiyefanya hivyo taarifa za muhusika zifikishwe kwa muajiri...
2 Reactions
8 Replies
263 Views
Kikawaida mwanadamu anapokuwa anapitia changamoto Fulani katika maisha yake Ni lazima stress sitawale katika kichwa chake na mawazo ya kutaka kutatumia changamoto hiyo kwa haraka saana na Mara...
2 Reactions
7 Replies
314 Views
Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa...
1 Reactions
2 Replies
426 Views
TERUSO YAANI ALIYEOKOKA KUUAWA KWA UPANGA WA MIUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Tena siku zile nikasema acha nifuate njia zangu mwenyewe. Nimechoka kuwa chini...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti. Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya...
8 Reactions
17 Replies
524 Views
Ni kweli ni ubunifu lakini kutangaza jambo kama Hilo hadharani inaleta ukakasi na sio sawa kimaadili. Ubunifu huo ungeendelea hivyo hivyo kimya kimya Ili kuwastahi mama zetu.👇👇 ====== KONDO...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
It've been a long day...... Wasalam wana jamvi. Waswahili wanasema jitihada hazizidi kudra, hii kauli haina Shaka katika ukweli kwasababu kila mmoja ni shahidi wa kila kilichomkuta, hakuna hata...
0 Reactions
7 Replies
389 Views
Back
Top Bottom