Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi...
Wakuu,
Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule...
Kaimu mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Sharifa Suleiman amelitaka jeshi la polisi Tanzania kumfukuza kazi aliyekua kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma...
Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza...
Hatimaye nimetimiza safari yangu ngumu niliyoianza Jumapili Kwa jumla ya game 25 pesa niliyoshinda kwa ujumla ni milion 46 ukitoa Kodi ambayo imekatwa salio langu limebaki milioni 45 kwenye...
Jumapili January 17 2021
Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni...
Yes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym.
Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amezungumza suala la utekaji na mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara Kwa mara nchini na madai ya baadhi ya watu vikiwemo vyama vya upinzani juu...
Waliowahi kusafiri nje ya nchi mara kwa mara ni mashahidi katika hili. Mkenya akikutana na Mtanzania nje ya nchi anaona ni Mtu tapeli mwenye maneno mengi, asio weza jambo lolote professionally na...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani ya Mkoa huo, wapo mbioni kuanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuweka camera za kisasa kwenye maeneo korofi kwenye...
Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA).
Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.
Anayejiita mtangazaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma...
Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi...
Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye...
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower...
Mahakama ya Uhalifu wa Kiuchumi na Kifedha nchini Zambia ambayo ni kama mahakama yetu ya mafisadi imeamuru nyumba 15 za kifahari za mke wa rais mstaafi Mrs Esther Lungu ambazo ni za kulala wageni...
Tangazo halijafafanua ni taarifa žipi hasa zipelekwe kwa mwajiri na kama hizo taarifa zinahitaji kuwekewa barua ya maombi ya kuhama au la. Na kama covering letters zinatakiwa.
Je, huo muda...
Thamani ya uwekezaji nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 60 hadi kufikia thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.6.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema thamani ya miradi ya uwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.