Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Straight to the point;- 1. Nilizaliwa miaka ya 80s katika Wilaya fulani , kanda ya Ziwa. Mimi ni mtoto wa nne katika familia ya watoto watano. Wenzangu wote walizaliwa hospitalini ...lakini...
29 Reactions
306 Replies
16K Views
Maandiko yatuongoze Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji. Tusiposoma tukasifu sifu...
1 Reactions
3 Replies
203 Views
Rafiki yangu mmoja kanipa kisa chake kaomba nimshauri nimemwambia anipe muda nikakumbuka wazee wa busara wako hapa nitashare kisa chake ili nipate hoja imara za kumshauri. Rafiki yangu huyu...
14 Reactions
113 Replies
3K Views
Waafrika tunatengenezewa Ufukara wa kulazimishiwa na kutishwa tishwa ili wachache walioamua kuishi maisha ya Anasa kwa Jasho la mafukara wasihojiwe lolote. Na mbaya zaidi wanazidi kuwaza mbinu za...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Habari wanajf, Hivi Maskini jeuri yupoje? Maana najua hadi uwe jeuri kuna kitu unacho kama Mguu wa kuku na pesa, sasa Maskini jeuri upo ama ni maneno tu.
1 Reactions
9 Replies
273 Views
Wakuu kuna mtu ameniambia kuwa kuna biashara anafanya ya kuchukua kamba kochi toka Msumbiji na kuwaleta Dsm,soko lake kubwa lipo kwa wachina . Tupeana info kwa mwenye kujua zaidi hii biashara...
2 Reactions
9 Replies
563 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi? Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi...
2 Reactions
11 Replies
514 Views
Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli. Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha...
2 Reactions
8 Replies
836 Views
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi...
1 Reactions
6 Replies
441 Views
1. Je, ni kweli kwamba wakati wa utawala wa MUAMMAR GADDAF wananchi wa LIBYA waliishi maisha yenye uafadhali? 2. KAMA NI KWELI: Je, ilikuwa ni muhimu kwa wananchi wa LIBYA kabla ya kumshambulia...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho...
35 Reactions
273 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa Kumekuwa na mahubiri mengi kwa sasa kuhusu utoaji huko makanisa ata yale makanisa yanaendeshwa kitaasisi lakini nayo mahubiri yao kwa sasa yamehamia zaidi utoaji wa sadaka...
6 Reactions
8 Replies
876 Views
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu. Nawasilisha. (1)Uzi wa watoto wazuri worldwide. Special Thread: Picha za...
11 Reactions
56 Replies
14K Views
Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo...
0 Reactions
4 Replies
544 Views
NASHUKURU SANA UONGOZI WA JAMIIFORUMS KWA KUNITAMBUA KAMA MOJA YA WANACHAMA WENYE MCHANGO KWA MWAKA 2024. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii kwangu niite heshima ya pekee. Kutambulika na...
35 Reactions
92 Replies
2K Views
Back
Top Bottom