Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Haiwezekani nalipia kifurushi cha unlimited halafu mtandao wao siku nzima napata nusu ya Mbps nilizolipia. Yaani, katika masaa 24 hayazidi 7 ndiyo masaa pekee ninayopata kasi kamili niliyolipia...
0 Reactions
2 Replies
145 Views
Kumekucha Zanzibar, kule Kizimkazi huku Mwinyi na uwanja Mpya. Hongera kwao. My Take: Nimuombe Rais Samia kabla hajaondoka Madarakani 2030 atujengee uwanja walau wa level za watu 35,000 Mbeya...
1 Reactions
21 Replies
654 Views
Kwenye haya maisha , ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala. Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha...
2 Reactions
1 Replies
150 Views
Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri...
1 Reactions
9 Replies
316 Views
Huko moshi jamaa wa miaka 54 amemuua mama yake wa miaka 74 kwa sababu ya ugonvi wa mali alizoacha baba ama mume wa marehemu ambae ndio baba wa mtuhumiwa. Marehemu aliacha mashamba, hayo ndio...
8 Reactions
107 Replies
4K Views
Naomba kufahamu ni namna gani makampuni ya mikopo mtandaoni hasa yanayotoa mikopo kwa watumishi wa uma yanatambua kua mtu ni mtumishi wa umma? Sababu ukiingia tu kwenye utumishi wa umma unaanza...
1 Reactions
1 Replies
356 Views
Inakuwaje wanajamvi? Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku. Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana...
5 Reactions
8 Replies
390 Views
Albadiri nayo ni scam, kama scam nyingine. Karma ipo na inafanya kazi hili halipingiki. Msemo wa malipo ni hapahapa duniani ndio "karma hiyo". Ukifanya mema utalipwa mema na ukifanya mabaya...
3 Reactions
15 Replies
522 Views
Mchezaji mahiri wa mchezo wa Draft kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw.Silva Njau, ameendelea kujifua kwa bidii huku akihidi kuibuka mshindi kwenye Mashindano ya Shirikisho...
1 Reactions
12 Replies
336 Views
1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo? 2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi? 3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa...
32 Reactions
180 Replies
22K Views
C&P Kwako Mkuu wa mkoa wa Kigoma. Salaam. Sisi ni wahudumu wa Afya ngazi ya jamii ( CHW's) kutoka tarafa za Buhingu na Ilagala wilaya ya Uvinza mkoani kigoma. Idadi yetu ni 80( themanini). Mwezi...
0 Reactions
9 Replies
523 Views
Amekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani, mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi. Ubaya hauna kwao. Mwisho wa...
8 Reactions
112 Replies
7K Views
Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
SOKO LA KARIAKOO IMEBAKI ASILIMA CHACHE KUKAMILIKA ZAIDI YA BILLIONI 30 ZATUMIKA Ukarabati wa soko la Kariakoo umegharimu zaidi ya Bilioni 30 na zimebaki asilima chache kukamilika Rais Dkt Samia...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Sababu za Kutoa Sadaka Sadaka ni Nini Moja ya nguzo muhimu sana katika imani ya Kikristo ni sadaka, Sadaka ni nguzo muhimu sana, kwa sababu hata Kristo mwenyewe alifanyika sadaka kwa ajili yetu...
2 Reactions
8 Replies
953 Views
Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025.. Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
0 Reactions
11 Replies
661 Views
Back
Top Bottom