Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Inafahamika kwamba kwa sasa tigo Tanzania inamilikiwa na kampuni inayoitwa HONORA TANZANIA PLC, lakini kwenye website au hata kwenye huduma zao kama za bustisha n.k terms and conditions zinasoma...
3 Reactions
4 Replies
651 Views
Anonymous (8b46)
Mtandao wa tiGO ukanda wa Mbeya Kyela umekuwa na changamoto sana takriban wiki mbili sasa kuanzia muda wa saa mbili usiku, changamoto hii ni simu kupatikana kwa shida, kutosikilizana vizuri na...
1 Reactions
4 Replies
189 Views
Kiukweli sisi waafrika hatuna upendo kabisa. Ni kitu ambacho kama tunajilazimisha tu kuwa nacho ila ndani yetu hakipo. Sio kwa wote ila kwa wengi wetu hatuna upendo. Badala ya upendo mwafrika...
3 Reactions
5 Replies
335 Views
Ndugu wanajamvi! Pokeeni salamu zangu Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani. Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake Kwamba wamepewa barua za...
1 Reactions
4 Replies
283 Views
"kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?" Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
https://www.youtube.com/live/Dx_r5P6246s Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji Mtyangimbole Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe...
0 Reactions
33 Replies
955 Views
Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Sijui jinsi mtakavyojitetea kwa hili Kwangu au hata kwa wengine waliokuwa na mtazamo kama Wangu ila kwa jinsi nilivyoona jana katika Kurasa mbalimbali za Watu wa Yanga kwa mtazamo wangu kwa Jicho...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
mshahara ni utumwa, yani unakuta mtu kila mwezi ana uhakika wa milioni 2, haya ni malipo ya kitumwa kazini jumatatu hadi ijumaa asubuhi saa mbili hadi saa 11 jioni, jumamosi kazini saa tatu hadi...
4 Reactions
8 Replies
368 Views
Hellow brothers and sisters. Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
11 Reactions
136 Replies
4K Views
UDHIBITISHO HUU HAPA: - Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi. - Shetani alisababisha binadamu kuanguka...
12 Reactions
69 Replies
2K Views
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi...
2 Reactions
10 Replies
390 Views
Hii haina haja ya kusalimiana, Jana nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta mkate wangu wa kila siku kama ilivyo Ada kwa watu tuliombiwa tutakula kwa jasho. Niliibahatika kuingia kwenye jengo...
13 Reactions
42 Replies
1K Views
Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
7 Reactions
16 Replies
468 Views
Bandari muhimu kwa maslahi mapana ya biashara na Malawi na Msumbiji. Atafutwe mwekezaji toka Arabuni awekeze miundombinu ya kisasa
0 Reactions
5 Replies
266 Views
Bei ya dhahabu duniani imefikia katika kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, Jarida la Uchumi limefanya uchambuzi wa rekodi hiyo na athari zinazotarajiwa. Usiache kufuatilia habari hii, ndani ya...
3 Reactions
7 Replies
406 Views
Habari wanajamvi, natumai mmeamka salama salmini. Kama mada inavyosema, utani hua ni mameno ya hapa na pale, mara nyingine ni ya ukweli ila yanawasilishwa kwanjia ya utani. Ila utani mara...
2 Reactions
17 Replies
749 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
📖Mhadhara wa 19: Pole na hongera kwa kazi dereva wa Bodaboda. Kuzunguka salama na chombo cha moto kila siku ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Naomba leo nikuume sikio mambo ambayo yanapendwa...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu...
10 Reactions
132 Replies
5K Views
Back
Top Bottom