Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za wakati huu wana jukwaa Duniani hatupo peke yetu, vipo viumbe au roho ambazo kwa macho hatuwezi kuziona, zipo katika dimension nyingine, lakini ipo namna tunaweza kuwasiliana au...
50 Reactions
770 Replies
25K Views
Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students...
2 Reactions
1 Replies
239 Views
Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi...
1 Reactions
1 Replies
184 Views
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu na karibu utiririke Mkuu.
2 Reactions
217 Replies
21K Views
Anonymous (d1a2)
Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Wakala wa Barabara Tanzania , TanRoads imechapisha ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara zao zilozowekewe lami na Zenye vumbi. Ufunguo 1. Rangi Nyekundu inawakilisha Barabara Za Vumbi 2...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
ZAMA ZIKIBADILIKA NAWE JIFUNZE ZISIKUTOE KWENYE MFUMO. Kuna zama ajira zilikuwa nje nje ila sasa ni lazima ufanye usaili na tena ufaulu huo usaili. Kuna zama fursa zilikuwa zinatafuta watu ila...
2 Reactions
1 Replies
149 Views
Dunia inaadhimisha ‘Siku ya Usafiri wa Baharini’ huku ikiangazia zaidi hatari zilizopo baharini zinazotishia uhai wa wasafiri, kuharibika kwa vyombo vya usafiri, mali zinazosafirishwa sambamba na...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Mwanzon nilihisi n shida ya ajira ndio inafanya wanaongezeka wakamaria Yaan hivi sasa hadi watu wa maofisini wanabet vibaya sana Watu wakubwa unawakuta kwemye ma casino Nini kinaendelea...
1 Reactions
3 Replies
192 Views
Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu. Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa. Nilijua ana...
5 Reactions
6 Replies
509 Views
Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya...
0 Reactions
6 Replies
595 Views
BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Wakuu kama kuna mtu wa crdb humu au mwenye taarifa kamili naomba atujuze hili suala. Mimi ni mtumishi wa serikali nilifanya maombi ya mkopo toka jumatatu kupitia mfumo wa ess ila maombi yakawa...
3 Reactions
5 Replies
327 Views
Kuna kitu kinaitwa fani na kuna kitu kinaitwa taaluma.. Ukiwa na taaluma kwenye fani fulani wewe si mtaaluma bali mtaalam... Kiingereza tunaita professional... Mimi nina taaluma na ujuzi wa mambo...
20 Reactions
125 Replies
12K Views
Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Usije ukarogwa ukatoa ushirikiano wa aina yeyote kwa Mtanzania, hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama mtanzania. Bado utampatia msaada wa bure lakini bado...
24 Reactions
70 Replies
3K Views
Kuna mwamba ambaye alipotea baharini akiwa safarini kwa mda wa mwezi mmoja,alipoulizwa ni kitu gani ambacho ulikihitaji sana wakati wa changamoto yako ya kupotea,alijibu ni maji na chakula...
7 Reactions
9 Replies
383 Views
Habari wana JF Naomba kujua maeneo walipo traffic wa barabarani -Torch -Checkpoint. Barabara ya Moshi-Dar Asanteni
2 Reactions
22 Replies
483 Views
Kufuatia ongezeko la madanguro katika maeneo ya Kinondoni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amefika kwenye maeneo ya kunapodaiwa kufanyika kwa biashara ya kuuza mwili maeneo...
2 Reactions
90 Replies
10K Views
Back
Top Bottom