Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wananchi wanahitaji kuelimishwa sana swala la wawekezaji
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake...
2 Reactions
5 Replies
723 Views
Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani. Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Licha ya Nyota wa Hip Hop na Mfanyabiashara kutoka Marekani, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent kutoachia Albam mpya kwa takriban miaka 8, bado anaingiza Pesa nyingi kupitia muziki wake. Akizunguza na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ya uzima, Katika MAISHA kitu muhimu huwa ni mipango au mpango. Katika philosophy huwa tunasema kuwa "life go to the same direction you gotta go with it" Maana yake maisha huwa ni yale...
10 Reactions
16 Replies
874 Views
Habari wadau! Kwa wale wanaoishi wakifanya shughuli zao binafsi kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa kile unachokifanya. Vijana wengi wanaogopa kujitangaza mitandaoni na kuishia kuangalia wenzio...
8 Reactions
10 Replies
508 Views
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu. Huu wizi mtapoteza wateja...
8 Reactions
34 Replies
587 Views
10.M16 ( shirika la kijasusi la uingereza) 9.kampuni ya Apple 8.ICBC ( benki ya kiselikali ya china) 7.CIA 6.Serikali ya india 5.Umoja wa ulaya 4.Serikali ya Russia 3.Serikali ya china 2. Serikali...
4 Reactions
28 Replies
899 Views
Ripoti ya George Land wa NASA 1960 Inawezekana ndio ikawa muarobaini wa matatizo yetu yote kama nchi ambayo msingi wake ni aina ya elimu. Katika utafiti huo George Land aligundua mfumo wa elimu...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Luka 12:2 Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana. Mnadhulumu haki za watu, mnauwa kwa ujambazi, kwa visirani, ugomvi wa kisiasa na sababu...
2 Reactions
1 Replies
362 Views
DIDDY AMPA MWANAE UFALME WA NEW YORK Justin Dior (kulia) akiwa na Nicki aliyempa kampani siku hiyo. P Diddy akiwa na wanae pamoja na Lil Kim. Hili ndo gari lenyewe. Justin Dior...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jeshi la kujenga Taifa (JKT) August 25,2022 limetangaza nafasi kwa Vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na na mafunzo ya Jeshi hilo kwa kujitolea kwa mwaka 2022. Aidha mkuu wa Tawi...
4 Reactions
61 Replies
10K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/waliochomwa-moto-handeni-ni-uhalifu-au-kisasi--4774174 Credit:MWANANCHI
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nukuu👇👇 Luka 3:14 (KJV) Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu. Ni zaidi ya miaka2000...
3 Reactions
14 Replies
381 Views
Kwa kipindi kidogo ambacho crown media imeanza kazi nadhani tunaweza sema ni bora kuliko Wasafi na hapo bado haina hata mwaka. Sijasema kwamba wasafi hamna vipindi vizur ila most of their...
12 Reactions
19 Replies
938 Views
May all souls find enlightment. Wakuu katika wakali wa ubunifu na magineous wa nyakati hizi jina moja haliwezi kukosekana ni Elon Musk. Huyu somo amekua na mchango mkubwa sana katika kuboresha...
2 Reactions
4 Replies
301 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini...
31 Reactions
723 Replies
69K Views
Katika ibada inayoendelea kanisa la mchungaji Mwingira Mkuu wa mkoa RC Makonda Amelia kwa uchungu mbele ya madhabau kutokana na matukio mabaya yanayoendelea mkoani Dar ess salaam hasa suala la...
8 Reactions
404 Replies
48K Views
Great Thinkers, Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone? Asanteni.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Noma sana. Kwa majina mengine zilikuwa zinaitwa Modest Get-Togethers au Hedonistic Romps
2 Reactions
3 Replies
625 Views
Back
Top Bottom