Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari zenu, kwanza nianze kwa kuwapa hongera wale wote walio kwenye mfungo wa KWARESMA na RAMADHANI, MUNGU WA MBINGUNI awaongoze salama hadi mwisho. Leo nimekuja mbele yenu nataka ushauri...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Salaam, shalom! Tangu kuumbwa Ulimwengu huu, Kiti kikuu, Mamlaka kuu ya Mungu haijawahi kushindana na tawala za wanadamu wakabaki salama. Askari wapo kufuata order ya mkubwa wao, ufalme wa...
1 Reactions
13 Replies
697 Views
Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka...
31 Reactions
253 Replies
31K Views
Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
5 Reactions
15 Replies
651 Views
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1...
54 Reactions
146 Replies
9K Views
HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
wasalaam ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye mada :Je, ni ipi asili au mila za mwafrika ? Kumekuwa na maneno utasikia ''sisi tuna mila zetu '' ''Tuna tamaduni zetu kabla ya kuja wakoloni "...
2 Reactions
18 Replies
591 Views
Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa halafu kuna...
3 Reactions
16 Replies
803 Views
1. Bunduki 2. Vilipuzi vya aina mbalimbali 3. Sumu za aina mbalimbali 4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri) 5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara 6. Sitafuga samaki aina...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu. TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imebaini kuwa tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Mining Watch la...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na...
10 Reactions
105 Replies
9K Views
JKT LAWAITA VIJANA WA KIDATO CHA SITA MAKAMBINI Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, tarehe 24 Mei 2024, ametangaza nafasi za Kujiunga kwenye Mafunzo kwa Vijana wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Medusa ni mojawapo ya wahusika maarufu katika mitholojia ya Kigiriki, ambaye alikuwa mwanamke mwenye nyoka kwenye nywele badala ya nywele za kawaida. Kulingana na hadithi, yeyote aliyemtazama...
4 Reactions
5 Replies
485 Views
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu..... Tujifunze ku normalize kuwaambia watu kwamba wana tu inspire kwa matendo yao au style ya maisha yao, kuliko kujaribu kuwa kama wao na kuanzisha...
3 Reactions
25 Replies
585 Views
Vijana wenzangu tukiwa ndo tunauanza mwaka 2023 si vibaya kupeana mbinu za utafutaji maana ujana wetu ndo utakao amuwa uzee wetu uweje. Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa yakwamba ukitaka...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa...
9 Reactions
55 Replies
881 Views
Back
Top Bottom