Wale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya...
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima.
Nashauri...
Juzi nilienda kununua nyama maeneo fulani Dodoma. Nilipofika nilikuta bucha safi na la kisasa lakini nilishangazwa kuona hakuna tena lile gogo la mti la kukatia nyama muda huu nilikuta kifaa kama...
Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu...
Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika.
Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza...
Wadau mada yajieleza.
Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi.
Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi?
Maeneo yawe mazuri sana.
Asanteni.
Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa...
Nimechaguliwa kusoma Bsc of science in human nutrition ,naomba nishaurini chochote kuhusu hii course kama ni nzuri
# Natanguliza shukrani zangu za dhati wakuu#
Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za...
Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika...
Wahudumu wa zahanati ya Msoga hasa baadhi ya madaktari hawako serious na wagonjwa, Leo nimefika kutibiwa hospitalini hapo kilichotokea ni kwamba wagonjwa wote tulipoingia chumba cha Daktari...
Katika jitihada za kukuza mashirikiano yenye tija, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) imeanza kushirikiana na Hospitali ya Medanta iliyopo nchini India katika kubadilishana ujuzi wa fani...
Aliwahi kuandika mwana fasihi MBUNDA MSOKILE kwenye kitabu chake cha USIKU UTAKAPOKWISHA, kwamba; Ukikosa Kware mawindoni rudi na bundi.
• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanasubiri kazi za...
Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran.
Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe.
Nini haswa madhumuni ya...
Wale watoto nadhani wa Peramiho Songea wametupa Somo watanzania tusiwe jamii ya kupenda kila kitu tusaidiwe.
Ni vema tukiwa jamii ya kupenda kutoa au kuchangia. Tuache dhana ya kuona kila jambo...
Jinsi ya Kujua Namba ya IMEI ya Simu Yako
1. Njia ya Kupiga Namba: Fungua programu ya simu kisha piga *#06#. Namba ya IMEI itaonekana moja kwa moja kwenye skrini.
2. Njia ya Mipangilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.