“Mnakumbuka wakati wa kampeni, tuliahidi kumtua ndoo mama kichwani. Sasa tumekwenda kuifanyia kazi ahadi ile. Tumeifanyia kazi kwa kusambaza miradi ya maji nchi nzima. Kama mnavyoona tulivyofanya...
Kuna huyu mwanamuziki anaitwa Jaivah. Nashauri BASATA wafungie kabisa nyimbo zake kwa sababu anaimba matusi mengi sana. Hii nchi sidhani kama tuko huru kiasi hicho, kwani tunapaswa kulinda maadili...
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo...
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo...
Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA.
Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili...
Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya.
Pia soma:
~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na...
Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao.
Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata...
Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya...
Mtandao wa Bwana Elon Musk wa Starlink sasa unapatikana Burundi.
Juzi rais wa Afrika Kusini alisema anamkaribisha na ameongea na Elon kutoa huduma ya Starlink hata kwa kuondoa vikwazo vya umiliki...
Habari ndugu @
Kiranga Mshamba hachekwi min -me Nyani Ngabu Infropreneur
mshamba_hachekwi SimbaMpole123
Ndugu zangu, huwa nafuatilia mabandiko yenu na pamoja na kutokukubaliana na nyie katika...
Hali ya soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP).
Soko la Kijichi...
Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi.
Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema...
"USIPOKUWA MAKINI UTALALAMIKA MPAKA UNAZEEKA"
1. Umelala kitandani unalalamika MAISHA NI MAGUMU - Usijali maisha mazuri unayoyataka yatakufuata papo hapo kitandani.
2. Unacheza bao saa 24/7...
Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu...
Kwenye ugomvi wa maneno.
Kama hauna uhakika kama hilo jambo ni ukweli.
Mtu mwingine akiwa anaongea.
Unapokosolewa.
Unapotaka kuweka umakini kwenye jambo fulani.
Wafamasia kama nguzo muhimu Katika sekta afya, kipi mnatuasa wanajamii?
========
World Pharmacists Day, organized by the International Pharmaceutical Federation (FIP), a WHO partner, is a day to...
Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni.
Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona...
Hili jambo limekuwa linaniumiza sana Moyo wangu. Imebidi nije humu JF niiambie dunia yanayousibu moyo wangu. Mtoto huyu moyo wangu unatembea nae. Jana nimatafakari kwa kina na kuona liwalo na...
Rais Samia akiongea na wananchi wa Peramiho mkoni Ruvuma amewataka watanzania kuendelea kudumisha amani, utulivu na usalama katika maeneo yetu.
Ni wajibu wetu (CCM) kuhakikisha Tanzania inabaki...
Majuzi nilifika kwenye hili TAWI Kwa ajili ya kutoa fedha ATM cha kushangaza hapakuwa na option ya kutoa pesa zaidi ya ile ya kuangalia Salio nk.
Ikabidi niwe mpole nikakimbilia kutoa Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.