Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like.
Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi ( MUWSA) imekusudia kutekeleza mradi wa majisafi wenye lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwenye vijiji vya Samanga...
Ripoti ya Shirika la Afya kuhusu hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa MPOX barani Afrika imeeleza kuwa zaidi ya Watu 812 wamefariki kwa Ugonjwa huo.
Pia, Wagonjwa wapya 2,082 wameripotiwa katika...
Salaam wakuu.
Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo.
NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana
Nawasilisha.
Wizi barabaran umekuwa sana, hivyo tujihadhari sana watumia Barabara maana unakuta upo speed kubwa hii inaweza kusababisha hata ajali na ikapoza maisha ya waendesha vyombo vya magari..
Mamlaka...
Linapokuja swala la mikopo hasa ya elimu ya juu limetokea jambo la kuwabagua watu hasa watoto waliosoma sijui shule kubwa (private) au watoto wa mawaziri kisa tu eti wazazi wao wanaonekana wana...
Huduma Nyingi, kupata Tanzania ni Kama Unakwenda Kujikomba.
Yaani unaweza kua una Namba ya NIDA, na Kuna Baadhi ya Campuni Binafsi huwa awatambui hizo namba mpaka uwapeleke Copy ya Kitambulisho...
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya...
Aise wadau salama kabisa.
Aise nimeishiwa pozi jamani. kazini huku kuna kazi aise ni balaa ipo hivi hapa ofisi kwetu mm ni mtu wa tatu kiutawala sasa yupo mkuu wa idara na msaidizi wake halafu...
Habari za usiku?
Kuna eneo langu la biashara katika mkoa Y.
Wiki jana maafisa kata na watendaji wengine wa wilaya wamekuja kuniomba watumie eneo langu na miundombinu yake kuandikishia wapiga kura...
Mtanzania mmoja amehukumiwa kifo katika mji wa Guangzhou nchini China kutokana na madai ya kujihusisha na dawa za kulevya, huku wengine 26 wakikamatwa kwa kujihusisha na dawa hizo haramu.
Taarifa...
Tumeamka
Leo ni uzinduzi wa kazi za kukuza na kuendeleza utalii katika jiji la Dar es salaam.
Tukio hili linaoneshwa live yaani MUBASHARA ktk TV pendwa ya umma TBC
Namwona hapa RC paul makonda...
Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo;
1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh...
Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha...
Nataka niwe karibu na Mungu, nataka Mungu aongee na mimi kupitia kitabu cha biblia, Safari yangu ya kusoma biblia ni nzuri sana na kila ninaposoma nafarijika na kujiona nimekuwa tofauti na zamani...
Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi.
Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa...
Habari Wana jamii.
Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?
Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia...
Kuna nyakati naona jumbe kupewa gawio na mtandao wa simu, unakuta ni kama Sh 38 n.k.
Naomba kuuliza, mimi si mwanahisa wa kampuni ya simu yoyote, ni mteja tu.
Kwa nini wanajipa gawio? Kiasi cha...
Honestly ndio ukweli.
Salamu ni muhimu maana hatupo sehemu moja wakuu!
Kwa hali ilivyo sasa ivi
Hatuwezi tena kutoa maoni juu ya namna nchi yetu itakavyoendeshwa
Kwa sababu ukitoa maoni ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.