Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Watanzania na wadau wa sekta ya Utamaduni na utalii kuona namna ya kuufanya utamaduni kuwa biashara ili...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Tokea nilipofikisha miaka 30 mpaka sasa mwaka wa 6 baadae, nimekuwa na hofu sana na maisha nikitazama nilipotoka na kulinganisha nilipo majibu ya ninakoenda hakuna nuru, mapambano ni mengi ila...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania sijui tuna shida gani jamani, labda ni umaskini unasumbua sana ila ukweli hatupo sawa. Imagine mtu anaonea wivu ndoto ya mtu! Waswahili wanasema akumulikie mchana usiku atakumaliza...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela...
1 Reactions
5 Replies
270 Views
TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za...
1 Reactions
6 Replies
924 Views
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano...
46 Reactions
146 Replies
5K Views
SHIRIKA la umeme nchini(Tanesco),limetoa shilingi Bilioni 18.5 kwa ajili ya utekelezaji wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 vya mkoa wa Kilimanjaro . Utekelezaji huo utafanywa na mkandarasi...
0 Reactions
7 Replies
217 Views
Mwenge wa Uhuru Wilayani Ngara umetembelea na kuzindua Mradi wa Maji Wenye Thamani ya shilingi Bilioni tatu chini ya Ufadhilii wa Benki ya Dunia kupitia LADP (Local Area Development Program)...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Naam bila shaka wote wazima. Mimi sio mwanasiasa hivyo sio mtaalamu sana na siasa ,ila naelewa maisha yangu 100% yanaongozwa na siasa. Siasa ndo inapanga bei ya mkate,mafuta,vyakula nk ,siasa ndo...
6 Reactions
3 Replies
317 Views
Tunakubali Lengo la Samia ni kutaka kuponya uchumi,jamii,mashirika na siasa ya Tanzania lakini mambo yamekwenda mrama pale anapoonekana hayupo tayari kuiruhusu demokrasia anayohubiri dhidi ya...
2 Reactions
2 Replies
145 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameweka jiwe la msingi katika shule ya Sekondari Makowo iliyojengwa kupitia Mradi wa kuendeleza Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Akizungumza...
0 Reactions
3 Replies
420 Views
Anonymous (8fe5)
Kuna kero ambayo inatuumiza wananchi wa kawaida wilaya ya ILEMELA MKOA WA MWANZA kwenye ofisi ya usajili hasa wa vyeti vya kuzaliwa, tunachukua form tunajaza details zote ziko sawa msajili akifika...
2 Reactions
5 Replies
406 Views
Katika mchakato wa ujenzi wa madarasa ya shule za msingi, kuna masuala kadhaa ya kuzingatia kuhusu matumizi ya madirisha ya aluminium bila kuweka nondo. Kwanza, ni muhimu kujua ni muda gani...
0 Reactions
4 Replies
570 Views
Wakuu nimefatilia birth certificate wakaniuliza elimu nikawaambia form four, so wameniomba nipeleke copy ya leaving na nlikua nayo, Hila nimechek kila Kona sijaiona nadhani Kuna jinsi imeibiwa So...
1 Reactions
7 Replies
193 Views
KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA Edga Mwakabela (Sativa225) Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces...
21 Reactions
149 Replies
8K Views
Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni...
2 Reactions
2 Replies
243 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Back
Top Bottom