Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja.
Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai...
Taarifa kutoka TUCTA
Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30.
Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap...
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara...
Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama usipoweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za...
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .
Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.
Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.
Hii ni tiba mbadala ...
Habari wadau!
Naandika habari hii kwa kuona kwamba kuna Sumu hatari sana kwenye maisha au jamii ya sasa zikiuzwa peupe bila mkono wa serikali kuingilia kati.
Watu wengi wamekuwa wakijtoa uhai...
Ugonile.
Mamlaka ya Maji DAWASA tukisoma report zenu za mwaka utakuta mnasema non revenue water (unaccounted for) ni zaidi ya asilimia 60, ambayo ni mbaya sana, ukifananisha na recommended au...
Wadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka...
Wanabodi,
Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao.
Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman...
Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani...
Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana.
Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu...
Jirani wa miaka zaidi ya 12 hapa kwetu Kongowe ya Mbagala tumempunzisha kabulini Jana majira ya SAA Saba za mchana baada ya kuaga Duniani usiku WA SAA kumi za usiku akiwa amelala na mwandani wake...
Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda...
Katika hali ambayo siyo ya kawaida leo nilijaribu kupost mada fulani katika mtandao wa Facebook lakini inaonekana wameu- cease message haziendi. Anyway hata hivyo lengo la maandamano limesomeka...
Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..?
yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi...
Habari wakuu,
Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus).
Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko?
Naomba kuwasilisha.
Washiriki watano wa kike kwenye shindano la Prime Video lijalo, Beast Games, wameanzisha hatua za kisheria dhidi ya kampuni ya uzalishaji ya MrB2024 na Amazon huko Los Angeles.
Jimmy Donaldson...
Unafahamu ni kwa nini gari jipya kabisa linatoka kiwandani na hook ya kuvutwa? Je watengeneza wa magari hawana imani na kazi yao?
La hasha, watengeneze magari wanaelewa kuwa pamoja na upya wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.