Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama,
sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga...
WAZIRI DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO TAMASHA LA TAMADUNI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 22, 2024 amekagua mabanda ya maonesho katika Tamasha la...
Hivi kuna anayejua dawa hasa ya kuua hawa wanyama/ndege aina ya popo? maana naona wanakuwa kero kweli kweli kwenye nyumba.
hivi wataalam kweli wameshindwa kutengeza dawa au sumu ya popo?
Naona...
Wakuu,
Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba.
Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni...
Ni karibu mwezi wa pili sasa Radio EFM haisikiki Morogoro, tatizo ni nini? Au labda hamjui kwamba matangazo yenu yamekatika Kwa muda wote huu? Mnatukatili wasikilizaji wenu. Au labda tukubaliane...
Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii.
Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?
Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta nakodisha banda liliko lipo wazi msimu wa mwaka jana.
Mtaa ninao kaa kulikuwa na mabanda mawili ya mpira ila msimu huu jamaa mmoja hakufungua...
Huyu mwamba ambaye katika Himaya ya Utwitani ni Maarufu kwa Id ya Msouth Madenge nilichokigundua huyu jamaa anauwezo Mkubwa wa kuchambua mambo kwa haraka zaidi yaani kwa lugha nyepesi ni mtu...
Binafsi sio tapeli ila nikiri kwamba niliamua kuwanyoosha hawa wakopeshaji wa mtandaoni baada ya mmoja wao kunichafua,
Nilikuwa mkopaji mzuri wa app fulani jina nalihifadhi nikilipa walikuwa...
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao...
Wakuu nina imani mnaendelea kupambana.
Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao.
Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka...
Wakuu amani iwe nanyi.
Twende kwenye mada, ni namna gani naweza pata taarifa zote za namba yangu ya NIDA bila kufika NIDA?
Kwanini bila kufika NIDA?
Nimeona kabisa jamaa ananijaza i.e anasema...
Kuna mambo nasoma asbh hii ya pdidy vs jb
Kwa kweli nimewakumbuka sana kaka zethu walio nje
Mungu awatunze wasijiingize kwenye hii michezo
Nasema haya kuna mama jirani yetu kmr mwisho ana...
Salaam kwenu wanajukwaa.
Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.
Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma kuifuta Hati ya Ardhi kwa Bw. Steven Mapunda ambaye alikabidhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.