Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada. Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu...
6 Reactions
10 Replies
449 Views
Kama unaikumbuka kauli yoyote yenye ukakasi iliyotolewa na kiongozi yeyote duniani naomba tukumbushane, mimi naanza hapa 1: Siwezi kuleta maendeleo hapa mkichagua upinzani-JIWE 2020 2: Kama nchi...
7 Reactions
102 Replies
6K Views
Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato. Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu...
15 Reactions
115 Replies
5K Views
Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa...
1 Reactions
1 Replies
146 Views
Natumaini wote ni wazima na weekend inaenda sawa. Msaada tafadhali shule iwe ya bweni🙏
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Swali lililoulizwa ni hili: https://www.instagram.com/p/DAJNUqTNURq/ ====== Majibu yangu Ndio, mara nyingi hukutana na taarifa ambazo zinaweza kuwa potofu, hasa kwenye mitandao ya kijamii au...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini...
8 Reactions
49 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri, nanyi mseme kazi iendelee. Serikali ya mama Samia imejitahidi kuponya madonda na majeraha ya watumishi wengi kwa kuwapandisha madaraja na kuinua kima cha chini cha...
2 Reactions
4 Replies
525 Views
Mwili unatoa rangi. Rangi zinabubujika kutoka kwenye mwili kulingana na tabia au afya ya mtu. Hapo ndipo dini inafanana na physics. NYEKUNDU. Katika hali yake nzuri nyekundu inaonyesha nguvu...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimefurahi kwamba Mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Mbagala mambo safi na pia njia ya Posta hadi Tegeta inajengwa. Hata hivyo, nachojiuliza kuhusu ile njia ya Bunju hadi Bagamoyo, watawezaje...
2 Reactions
9 Replies
462 Views
Kamwene, Ughonile, Mwandila! Nikiwa kama kijana niliyezaliwa katika familia kubwa ya Watoto 12. Malezi ya halisi ya kiafrika kutoka jamii ya kabila x nilifundishwwa vyema sana mzee wangu...
18 Reactions
33 Replies
1K Views
Leo Tarehe 22 Septemba 2024, Askari Polisi wa Mkoa wa Mtwara walifanya doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo ili kuimarisha usalama na kuhakikisha raia wanaendelea kuishi kwa amani. Picha...
1 Reactions
5 Replies
240 Views
Tukitazama mwenendo wa mlipuko wa covid 19 duniani na Tanzania kuna umuhimu wa kufanya toxicological na electronical analysis kwa wote wanaopatwa na ugonjwa au mauti yatokanayo na covid 19.
-1 Reactions
2 Replies
763 Views
Kwa namna ya pekee Jeshi la polisi nchini linapaswa kumuenzi aliyekuwa Naibu Waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani the late Augustino Lyatonga Mrema kwa kuja na mpango au kutekeleza mpango wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO bila kuchelewa. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu tumesema nchi yetu haihitaji kukopa kutoka IMF,World Bank au chanzo kingine chochote cha mikopo.Lakini tumeishia kuzomewa,kutukanwa,kudharauliwa na hata wengine kama...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Naumia sana ninapomuona mtu mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa. KUMBUKA! Hawa...
46 Reactions
198 Replies
40K Views
Serikali wekeni annual increments za watumishi kulingana na mikataba na makubaliano yalivyo.Kutofanya hivyo ni ukandamizaji na si sawa Mwaka unaisha lakini kupo kimya,annual increment ni haki kwa...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Na Mwandishi Wetu, Mbamba Bay Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Back
Top Bottom