Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Major East African airlines have raised stakes in the battle for the region's skies with new domestic and long-haul routes and increased flight frequencies. Kenya Airways (KQ), Ethiopian...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Ukikua unaona mengi .... wengine tumelazimika kubadilika tuendane na utamaduni wa hawa waswahili majirani zetu wana tumia sahani moja ya mboga kuchovya, mama baba na wstoto loh!!!. Wakati niko...
1 Reactions
0 Replies
135 Views
Message za maboresho nimepokea kama mara tatu kwa wiki tena maboresho kwa muda tofauti tofauti na Leo yanafanyika mchana why? Angalieni muda mzuri wa kufanya hayo maboresho ikibidi mfanye usiku...
1 Reactions
2 Replies
155 Views
Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia. Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na...
9 Reactions
49 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Tafiti, Muungano wa Makampuni, na Utoaji wa Elimu ya Ushindani, Zaituni Kikula akiwa pamoja na Roberta Feruz Mkuu wa Kitongo cha Mawasiliano Serikalini Tume ya Ushindani FCC wakati...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama...
32 Reactions
320 Replies
39K Views
Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana...
1 Reactions
1 Replies
259 Views
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Mjomba najua uko huku unasomaq Nikukumbushe tyu ile safari yyeti ya kila siku sijui makundi sijui lwenda robot Inaishia leoo Mjomba nisamehe sana sijaandika kaa uchungu bali nimewaza tu kama...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
TABIA 7 ZITAKAZOYABADILI MAISHA YAKO MILELE 1. Tabia Ya Kuweka Malengo weka malengo ya Mwaka/Mwezi/Juma/Siku Panga malengo yako kwa kufuata kipaumbele Jikumbushe malengo yako kila siku 2...
14 Reactions
22 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wana-JamiiForum. Ni imani yangu wote mpo salama. Kama kuna anayepitia changamoto Mungu awe faraja kwako. Nimekuwa mfatiliaji wa kipindi cha 'Ushauri wako' kinachorushwa saa...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
1 Reactions
1 Replies
163 Views
Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq...
2 Reactions
10 Replies
573 Views
Naomba niseme yafuatayo, CCM yenye kufuata demokrasia, yenye kuheshimu sheria na katiba, CCM yenye ufahamu kuwa haina umiliki wa Tanzania bali li inadhamana ya watanzania ndio itadumisha amani na...
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili...
1 Reactions
0 Replies
213 Views
Kijana mcheza kamari na afsa ubashiri ameeleza Kuwa anazidi kupokea vitisho vya kuuawa na kusema watekaji wanasema bado hawajamalizana na yeye Bado kijna analaalmika kuwa aliyemteka na kutaka...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa. Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya. Kuna waliowahi kuona mtu anamloga...
80 Reactions
847 Replies
193K Views
Back
Top Bottom