Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction...
3 Reactions
3 Replies
252 Views
Bado siku 4 tu kufikia Septemba 21, 2024, ambapo tuzo zitatolewa kwa Washindi wa Awamu ya 4 ya Shindano la Stories of Change (SoC). Mwaka huu (2024), kupitia maandiko ya washiriki kwa ubunifu...
4 Reactions
12 Replies
681 Views
Jana nilipata nafasi ya kukutana na Kiongozi mmoja wa Ubalozi wa New Zealand nchini Tanzania, tulipata wasaha wa kula chakula cha jioni yeye pamoja na familia yake. Tulikuwa kwenye hoteli moja...
40 Reactions
159 Replies
5K Views
Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema...
4 Reactions
17 Replies
559 Views
Ni saa 10 na nusu alfajiri ninaamka kujiandaa kwa ajili ya kwenda harakati, nafuata taratibu zangu za kila siku, napiga goti namshukuru Mungu kwa uzima naingia bafuni kujishikashika na sabuni...
14 Reactions
69 Replies
2K Views
Licha ya kuchimba sana dhahabu Chunya na kusekesa Lakini dhahabu imekuwa ni adhabu kwangu kwa kukaa kwangu kote polini nimeambulia kupata nyunga tu za point moja zimezidi sana point saba Licha ya...
49 Reactions
157 Replies
10K Views
Mwaka 2014 nilipata maono ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hii ni baada ya kuanza kusoma vitabu mwaka 2012 na kuona manufaa yake kwenye maisha yangu, na hapo kuamua kuweka nguvu zaidi...
34 Reactions
129 Replies
17K Views
NCHI A. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema Kwa kunifikisha hapa, Pili nimshukuru rais, Dr, amiri jeshi mkuu, mheshimiwa. Kwa kujitoa kwake Kwa nguvu zote bila kuchoka -...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
Nina willing ya kuwasaidia wasiojiweza yaani walemavu, yatima, na wenye maisha duni. Kwa kusema hayo ninaomba mawazo yenu lakini pia kwa aliye tayari ani pm kwaajili ya kutoa sadaka yake kila...
6 Reactions
24 Replies
494 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Maafisa Ardhi kutouza holela ardhi hali ambayo imekuwa chanzo cha migogoro ya ardhi sehemu mbalimbali nchini...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za...
5 Reactions
32 Replies
829 Views
Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza...
3 Reactions
14 Replies
599 Views
Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua. Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul. Mimi...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua...
25 Reactions
86 Replies
3K Views
Hello! Shalom Kuna huduma kuu 5 ambazo ni Utume, unabii, Uchungaji , ualimu na Uinjilisti. Kwasababu ya watu kukosa MAARIFA ya ndani juu ya huduma wengi huishia kujiita Wachungaji, Walimu na...
1 Reactions
9 Replies
529 Views
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na...
50 Reactions
158 Replies
9K Views
Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho...
2 Reactions
4 Replies
273 Views
Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet...
1 Reactions
4 Replies
493 Views
Anonymous (80a9)
Naomba kuwasilisha kero yangu ambayo imekuwa ya muda mrefu katika stendi kuu ya mabasi Dodoma ambapo wasafiri wanaoingia humo hulazimishwa kulipa ushuru wa halmashauri kiasi cha tshs 300/= hata...
1 Reactions
7 Replies
422 Views
Back
Top Bottom