Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
18 Reactions
259 Replies
17K Views
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya...
3 Reactions
3 Replies
163 Views
Ile siku Imewadia! Bado saa chache kwenda kuwajua washindi walioibuka kidedea katika Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024 Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu (2024) Washiriki wameonesha ujuzi...
4 Reactions
5 Replies
564 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili. Prof...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku...
47 Reactions
231 Replies
38K Views
Tofauti ya matumizi ya umeme baina ya Mikoa ni kiashiria mojawapo Cha maendeleo hususani ya viwanda,migodi na shughuli za Uchumi na Biashara. Hii ndio Mikoa 11 inayoongoza Kwa kutumia umeme...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameagiza kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya Walimu wanaodaiwa kuchukua rushwa na kuwaandikia mahudhurio ya uongo Wanafunzi 48 wa kike waliobainika kuwa na...
2 Reactions
21 Replies
555 Views
Mzuka wanajamvi! Jamani tujivunieni kiswahili chetu. Ni lugha nzuri tamu kuongea kuliko lugha zote. Leo nimekutana na m Vietnam hajui kiingereza nilipomuongelesha akanijibu emahuuuu yashoodhaa...
6 Reactions
17 Replies
411 Views
Serikali wakiweza kulitizama hili basi watoe msaada kwa dada zetu hili tatizo limekuwa kubwa sana, Ukiweza fanya uchunguzi. Nahisihi serikali kwanini... kwasabau elimu hii ya jinsi ya mwanamke...
2 Reactions
7 Replies
371 Views
Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka...
3 Reactions
1 Replies
223 Views
Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation)...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu...
49 Reactions
134 Replies
5K Views
HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine...
31 Reactions
160 Replies
29K Views
Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu. Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda. Mnamo...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Naona mambo mabichi kabisa.....kumbe hakufukuzwa kazi in the real sense...ndo maana wakasema wametengua...nadhani Balali bado anazo nguvu nyingi na mambo mengi anayojua Je ina maana alikuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mshindi wa kwanza wa droo kubwa ya Kampeni ya ‘Tap Tap Utoboe’ ya Benki ya Exim, Geofrey Muganyizi (watatu kutoka kushoto), akipokea kadi ya gari mpya aina ya Mazda CX-5 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea Hata yule bosi wa zamani wa mawingu...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi...
18 Reactions
65 Replies
3K Views
Katika maandiko, Mtume Paulo anatoa mfano bora wa mhubiri ambaye lengo lake halikuwa kushawishi akili za binadamu bali kuhubiri kwa nguvu za Roho Mtakatifu. Paulo mwenyewe anasema katika 1...
1 Reactions
0 Replies
208 Views
Back
Top Bottom