Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.
Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG...
Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake.
Watu wa mbeya hii inawahusu sana.
MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye...
Kwa mkono wa Robert Heriel.
Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi...
Salaam wakuu.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la...
Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana
Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake.
Songea sehemu yenye...
Wakuu, Leo katika pitapita zangu maeneo ya Morroco nimekutana na gari za polisi za kutosha wakiwa wamevalia special kupambana na waandamanaji samba samba na hilo pia gari za maji ya kuwasha zlikua...
Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake...
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa...
💼 MHADHARA WA 12
Mwanangu eeh! Mara moja moja ukishika hata shilingi elfu 30 nenda katembelee hoteli ya kifahari au maeneo mengine ya kifahari. Fika hoteli ya kifahari agiza glasi moja ya juice...
Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa.
Sasa ni nini...
Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa...
Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi
Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao
Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
Kwanza nichukue muda huu kuomba radhi wasomaji wote wa Jamii Forums jana tarehe 19/9/2024 kwa kuandika taarifa ya upotoshaji kuhusu Mbowe kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe...
Halotel Tanzania ina zaidi ya miaka 8 katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini lakini inashangaza kuna mambo madogo madogo tu wanashindwa kuyaweka sawa ili kuiboresha huduma yao kimawasiliano...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio...
Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia.
Mkondo wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekuja na mada kama ifuatavyo
Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546)
walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.