Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo:
1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji
2...
Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa?
Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa...
Amani iwe nanyi.
Kadri siku zinavyosogea vinaibuka vizazi hatari kuliko maelezo, karibu asilimia 90 ya wakristo hawasomi hata maandiko (BIBLIA) wanajiendea tu kama kondoo aliepotea.
Katika...
Heshima kwenu wakuu, Ustawi wa Jamii ni taasisi iliyo ndani ya serikali,na lengo la kuanzishwa kwake ni kutoa huduma zinazohusiana na masuala ya haki za watoto.
Lakini usiombe wewe mwanaume...
Kwa mawazo yangu ya kawaida bila kutumia akili za shuleni kwetu kuna vitu havipo sawa kwenye chi hii.
Mfano: Unaenda RITA unafanya maombi ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto/watoto etc.. unapewa...
#Part2
WAKILI KIBATALA: Sheria inasema (anataja vifungu) mkimkamata mtu muwe mmekamilisha upelelezi. Sasa nyie hamna ushahidi. Mnaomba mahakama itoe amri ya kuingilia akaunti zake ndio mpate...
Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana...
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.
Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa...
Kituo cha Daladala Simu 2000 kimefungwa leo, Septemba 14, 2024, kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu kama mwendokasi.
Karakana hiyo ni sehemu ya mradi wa awamu ya nne wa...
Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio...
Mauaji: Baada ya Zombe, Bageni akiri kuidanganya TUME
*Afichua kuwa waliidanganya Tume ya Rais
James Magai
MSHITAKIWA wa pili katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva...
Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu
Imeandikwa na HabariLeo
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria takribani laki nne kuhudumiwa kupitia Kiwanja hicho kwa...
Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza.
Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa...
Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa akiagana na Mwenyekiti
Mgeni rasmi Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe...
Wakuu,
Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish...
Binafsi wakati mwingine namuonea huruma namna watu wanavyomshambulia , ila najiuliza ubora wake upo wapi angalau nimtetee tetee siuoni.
Kila kukicha mambo yanaharibika na kwa namna moja au...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuiga utamaduni wa watu wa mataifa mengine kwa kisingizio cha Haki za Binadamu.
Mhe. Ndumbaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.