Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
4 Reactions
25 Replies
804 Views
WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI -RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko -Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Habarini waungwana.... Vijana na marafiki zangu wananiambia weekend twende kutazama mechi ya simba, nimewaambia siendi. Siwezi kwenda kupoteza pesa zangu kwa ajili hiyo, nimewaambia ni heri...
5 Reactions
10 Replies
287 Views
Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi. Habari JamiiForums Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k. Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama. Wahindi na Waarabu - $$$ (top 20 ya matajiri...
11 Reactions
71 Replies
2K Views
Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana...
1 Reactions
5 Replies
370 Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutenga wodi...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
💼MHADHARA WA KUMI (10) Yawezekana mwenzetu umekuwa Bosi au utakwenda kuwa Bosi mpya kwenye shirika, kampuni, taasisi, au ofisi fulani. Najua unajua lakini ngoja tukumbushane; Kuna tabia ya baadhi...
0 Reactions
2 Replies
243 Views
Siku sio nyingi katika ukurasa wa @scaniatanzania walitoa taarifa za kuhusu ujio mpya wa mabasi mapya ya mwendokasi. Upande wangu mradi utakua mzuri kama mradi utafanyika bila kuwa na mkono wa...
1 Reactions
5 Replies
499 Views
1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya...
5 Reactions
57 Replies
1K Views
Hii itakusadia pindi ukiwa nyumbani pekee yako ama mahala popote pasipo na msaada pamoja na kuokoa gharama. Siongelei ule ufundi professional hapana.Ni ufundi ambao ni basic kwa ajili ya kuokoa...
15 Reactions
61 Replies
1K Views
Habarini wakuu? Bila kupoteza muda ningependa tujuzane je kuna ukweli wowote juu ya uwepo wa nchi iitwayo giningi, Kwa wale waliobahatika kusoma kitabu kinachoitwa KIVULI KINAISHI cha mwandishi...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Leo nathibitisha rasmi kupingana na madakitali; Mwili wa binadam haunenepi wala kupungua kwa mazoezi na chakula(Diet) bali kwa kiwango cha furaha alicho nacho binadam (stress and happiness)...
55 Reactions
214 Replies
42K Views
Kweli wapambe wa tajiri wana nguvu. Tayari wapambe walishaenda kampala na kisanganj kuangalia njia na kushughulikia vibali, japo wengine wana mshauri center iwe Kampala to Juba na Kampala to Ben...
20 Reactions
52 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJamiiForums habari? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Katika utafiti wangu wa miaka kadhaa hatimaye nimebaini kuwa maombi hayatuepushi na mabalaa yeyote kwenye hii...
10 Reactions
59 Replies
1K Views
Mchana Dar es salaam ni mateso juakali na msongomano wa watu sehemu za masoko na vituo vya daladala eg Kariakoo, karume, Ilala boma, Manzese etc unapotembea lazima mgusane gusane na kupigana...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Chonde chonde Serikali yetu, wakulima sasa tunapata shida kubwa hasa maeneo yetu huku Pwani Mazao karibu yote yanasakamwa na kunguru, wanaharibu mazao kama, Tikiti maji, sweatmelon, sweatcon...
0 Reactions
6 Replies
246 Views
Dah enzi hizo hizi shule zilikuwa moto balaaa Ukisikia mtoto anasoma huko respect Nimezikumbuka sana leo, hivi bado zipo?
5 Reactions
25 Replies
719 Views
Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja. Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini...
4 Reactions
27 Replies
636 Views
Atatoka tu, Mungu atamtetea, sisi huku ni watu wa mungu tunapiga goti kuomba na kufunga lakini pia na sisi tumeuza cocoa pesa hapa tunachanga, tuteue watu wawapelekee mawakili huko mjini...
3 Reactions
6 Replies
409 Views
Back
Top Bottom