Hivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha.
Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi...
Wakuu naomba kuuliza kati ya vitu tajwa hapo juu kwa kijana ambaye ni Muajiriwa amejichanga na kuweza kusave wastani wa 10 milioni.
Ni kitu gani aanze kumiliki katika harakati zake za Maisha...
Askari mmoja wa kituo cha polisi Muleba (jina lake linaifadhiwa) ametekwa na Mhasibu wa halmshauri ya wilaya ya Muleba hadi alipopatikna akiwa njiani kupelekewa katika maeneo ya vijijini kwa...
Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee
Nimejichanganya aiseee!!!
Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa...
One Day To Go! Hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inatarajiwa kufanyika kesho, Septemba 21, 2024
Mwaka huu Washiriki wameonesha uwezo wa juu katika kuijenga...
Mrithi wa aliyekuwa mtabiri na mganga wa kienyeji marehemu Shekhe Yahaya Hussein, Hassan Yahaya ametabiri mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka 2014,kubwa amesema ametabiri kiongozi mkubwa wa chama...
Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo,
Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja,
Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na...
Tuendelee kukumbushana kila wakati juu ya ulaji sahihi kwa ajili ya kutunza miili yetu, japo kuna watu husema tutakufa tu hata tufanye nini lakini ni muhimu kuwa na tahadhari juu ya maisha yako ya...
Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -435 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI...
Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao
Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA
Kadi za bank...
Hii niliiona katika ile habari ya jamaa aliyekamatwa na polisi, akawekewa mguu, bahati mbaya akafariki, raia walikuwa wanashauri polisi, lakini hawakuzuia polisi asifanye kazi yake.
Kuna siku...
Last week kuna mdau alizungumzia kuhusu kufanya maamuzi ya kuacha kazi ili akapige mishe zingine mtaani, kwenye mjadala ikaibuka point ya makato ya mikopo kuwa mikubwa kiasi cha kusababisha net...
Takribani mwezi tatu sasa tangu shirika la MDH linalojihusisha na masuala ya maendeleo ya afya halijaweza kulipa fedha wanazo dai watoa huduma.
Mwezi wa saba mwaka huu TMDA iliendesha mafunzo kwa...
Ipo wazi inajulikana pombe sio chai na mtu akinywa pombe uwezo wake wa kufanya maamuzi kwa asilimia kubwa hupungua.
Sasa utakuta kuna huu mchezo wa kuposti watu wakiwa wamelewa kwenye sherehe au...
Habari wakuu,
Nimepata safari ya kiutafiti Maeneo ya wilaya ya Mkalama, sina idea yoyote kuhusu eneo hilo, sina mwenyeji kule na sijawahi fika kabisa.
Naomba kujuzwa yafuatayo;
1. Nasafiri kwa...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.