Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika...
Hii ni Sheria ya 15 kati ya Sheria 48 za mamlaka zilizoandikwa na mwandishi ROBERT GREENE katika kitabu chake kiitwacho THE 48 LAWS OF POWER. Sheria hii imesema; CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY, yaani...
Kiranga hii pointi yake tangu jana imenifikirisha sana, uliyosema yote hapa ni ukweli mtupu.
Juzi kati nilienda kijijini huko nyanda za juu kusini nimekuta watu wanafanya mambo ya kijinga wasomi...
naona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu...
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama...
Mfumo wa Jimbo una jukumu la kuunda mwelekeo wa fikra wa watu wake
Kwanza nakubaliana na mtoa hoja wa Jamii forum kwamba "uzezeta wetu, ujinga wetu, umbumbumbu wetu ni wa Kiutamaduni, ila...
Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana.
Serikali...
Maisha ya kijijini ni mazuri sana kuliko maisha ya mjini. Kijijini kuna vivutio vingi vya asili,na watu wake wana utu na umoja ukilinganisha na mjini.
Kijijini kuna hewa safi inayomuwezesha...
Askari wa usalama barabarani ambaye jina lake halikufahamika ameokolewa na askari wenzake baada ya kutekwa na mwendesha bajaji, tukio hilo lilitoke barabara ya alihasan mwinyi maeneo ya sayansi...
Habari wakuu,
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju.
Polisi...
Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo.
Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi...
Ukitaka kuwa Content creator umiza akili au ukiwa mzee wa kukopi jifunze kutoa Credit .
Robert Heriel Mtibeli anatafutwa Sana so wewe unajivisha uhusika wake na kujifanya ndo yeye unakuwa...
Kwema Wakuu!
Kuna mambo yananishangazaga sana. Mpaka wakati mwingine najiuliza kwa NINI ipo hivyo.
Mimi ninatabia sijui niite ya ajabu au ya namna gani. Iko hivi;
Mimi sionagi shida mtu...
Si kila mtu, ana roho mbaya, si kila mtu ana tabia mbaya, hivo ilivyo kwa uzuri.
Chadema na wanachama wenu, viongozi na mashabiki zenu.
Hasira ,kutukana, kuandamana kwakuita kushinikiza...
Je, mnataka kuzulumiwa?
Je, mnataka tukope tuwakimbie?
Je, mnataka tusiwalipe?
Je, mtatushtaki wapi?
Je...
Je....
Je...
Embu acheni hizo bwana msitake tukope tuanze kuaibishanaa kwenye msg pls
Shambulio ambalo kawaida linaitwa la kigaidi lililofanywa na Israel nchini Lebanon lazima lituzindue na kutufanya tuanze ukaguzi wa kina wa vifaa vya kielektroniki vinavyoingia nchini. Je, kitengo...
Na.Mwihava GF,Dodoma
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Sheusi Mbuli kwa niaba ya Katibu Mkuu, amewatakia Heri wanamichezo wanakwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.