Kwa wale wenzangu tuliozaliwa bongo bahati mbaya tunataka kwenda kanani, basi serikali ya Marekani imetangaza rasimi kuwa wale wote wanaotaka kwenda marekani kuwa wa kazi wa kudumu mnatakiwa...
Toa\taja tofauti tano (5) kati ya
1)Aliyeona akikusimulia na,
2)aliyesikia akikusimulia
Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza.
A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA
B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA...
Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita.
Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale...
Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji.
Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara.
Ni kero kubwa sana.
Lau nitataka kufungua biashara leo, nikienda TRA nitapata kila kitu kwa maana TIN na Tax Clearance pasipo tabu yoyote. Tena hatumwi hata afisa kuja kuona hiyo biashara.
Kimbembe ni pale utapotaka...
Ndivyo ilivyo siku zoke hakuna malaika mwanamke na hakuna mitume wanawake, wanaojitakia waendelee kuyaoga maji yao.
Kwenye ulimwengu wa majini na mashetani ndio uliko Utawala wa Mwanamke.
Kwenye...
Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano
1. Nyerere - Bara
Makamu wa Rais -Zanzibar
2. Mwinyi - Zanzibar
Makamu wa Rais - Bara
3. Mkapa - Bara...
Na Joel Magese Moshi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kuacha mara moja tabia ya kuuza maeneo ya wazi ili kuhifadhi ardhi kwa matumizi...
HEKIMA ITUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA FAMILIA: NAIBU WAZIRI PINDA
Na. Joel Magese, ROMBO
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kutumia hekima...
Kuwalaumu wengine kwa ugumu na changamoto tunazopitia katika maisha yetu mara nyingi ni njia rahisi ambayo wengi huichagua. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba kila mtu tunayekutana naye ktk...
Nimejaribu kutafakari mnoo swala hili la matukio ya kikatili nchini hususani mikoani Dodoma😭 majibu kamilifu sina.
Ila Mimi naona kwa sector ya masuala ya Imani kumelegea mno🥲.
Watu hawana tena...
Baada ya kuona Episode I: Kuchagua Camera, Episode II: Kuset light, sasa simply nikukumbushe Kufanya Editing.
Edit ni process ndefu, na inachukua muda kujifunza. Ila hainamaana uogope, kikubwa...
Zamani kidogo, ilikuwa lazima uchape CV yako vizuri, ununue bahasha zile safi, na utembee hadi ofisi moja baada ya nyingine ukizigawa. Siku hizi, hiyo ni hadithi ya kale! Teknolojia imegeuza kila...
Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti...
Sikia! Kila kitu kina mlango ili ukiingie! Hata wanzinzi, wezi, mafisadi, nk kabla ya kufanya tukio ujiuliza nitaingilia wapi? Ukitaka kuingia kwako hata chumbani kwako lazima upitie mlangoni...
🐍 Kila mwaka, karibu watu milioni 5.4 huumwa na nyoka duniani kote, na kusababisha zaidi ya vifo 800,000 na kuacha mara tatu ya idadi ya walionusurika wakiwa na ulemavu. Ugunduzi wa haraka wa dawa...
Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata...
Elon Musk mwenye utajiri $243.7 sawa na Tsh. Trililioni 663 yaani sawa na bajeti ya nchi yetu ya miaka 15. Musk ndo tajiri namba moja Duniani.
Musk anayemiki Tekinolojia kubwa kwa sasa Duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.