As great thinkers naimani wabobezi wa sera za kiuchumi watanisaidia mimi mwanakijiji kuelewa.
-Mara nyingi hujiuliza kwa bidhaa kama hii kuagizwa kutoka nje ya nchi !!! Ipo athari yeyote katika...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mara linawashikilia watu kumi na tano (15) kwa tuhuma za kuwashambulia askari wawili wa kikosi cha usalama barabarani waliokuwa wakitekeleza majukumu yao ya kikazi kwenye...
Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya.
Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi...
Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena...
Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada...
Tunakaa miezi miwili mpaka mitatu bila malipo na wakilipa wanalipa mwezi mmoja malimbikizo yanakuwa mengi. Hivyo inatufanya maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba tunakosa hata nauli.
Tunaomba...
Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023
TZ (TCRA)
2020 51.2 million
2021 54.0 million
2022 60.2 million
2023 67.0 million
KE(CA)
2020 57.0 million
2021 60.1 million
2022 63.3 million...
Rais wa kwanza wa African Union Committee.
Rais wa kwanza wa Pan African Parliament.
Balozi wa Tanzania nchini India bibi yetu comrade Gertrude Mongella ameliona hilo huko ughaibuni kwa Fidel...
Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu.
Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
Ni takriban miaka zaidi ya sita tangu huduma ya umeme ifikishwe katika KATA ya MAGANGE Wilayani Serengeti mkoani Mara lakini tangu wakati huo wananchi mbalimbali walijaza fomu za maombi ya...
Mtu mweusi ni mkaidi sana.
Mpe uhuru, ajipatie nafasi ya kubania wengine uhuru.
Mpe mamlaka, ajipatie nafasi ya kutajirika haraka.
Mwafrika katika harakati analalamika kuhusu njaa na tabu...
Wadau hamjamboni nyote?
Mikoa inayoongoza Kwa mbumbumbu wengi Tanzania
Rukwa, Katavi, Tabora, Simiyu na Dodoma.
Kilimanjaro yenyewe ni tofauti kwani inaongoza Idadi watu wanaojua kusoma na...
OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN
AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ...
Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍...
Kwa hali ninavyona mimi!
Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi!
Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada...
Kiwango cha uzazi nchini humo kwa sasa ni watoto 1.5 kwa kila mwanamke, chini ya kiwango cha 2.1 kinachohitajika kwa utulivu wa idadi ya watu
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameripotiwa kuanzisha...
Kwa kipindi cha miakaa miwili hii, mabenki ya nchini Tanzania kama CRDB, NMB, DTB, NBC, AZANIA BANK nk yamepandisha riba za mikopo kwa kiwango kikubwa.
Hii imekuwa ni maumivu makiuubwa saana kwa...
Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano...
Jana katika mitando mbalimbali yamepost picha ya jumba la Mayor wa zamani wa Ubungo ndugu Boniface Jacob
Jumba limenikosesha usingiz niliamka sa Tisa na kusali sana ili na mimi niweke jengo kama...
Taarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia
Innalillah wainna ilayhi raajiuun
=====
Mfanyabiashara maarufu jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.