Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau hamjamboni nyote? Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali Kichwa cha habari chahusika? Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki...
22 Reactions
236 Replies
5K Views
Ushauri wa bure, mama umelikoroga au umekorogewa, chukuwa ushauri huu wa kizalendo. Wenye jicho la tatu tunaelewa vizuri Urais wako hautishiwi na wapinzani bali kitisho kikuu kipo chamani ndani...
33 Reactions
112 Replies
3K Views
Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana...
5 Reactions
31 Replies
979 Views
Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua, Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili...
0 Reactions
7 Replies
410 Views
Wote tunaishi dunia hii, lakini kwa namna gani tutaiangalia sayari yetu ya dunia, itategemeana na hisia au feelings tulizo nazo katika wakati husika. Iko hivi, ukiwa na hisia hasi au kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
“HUDUMA tunazotoa ni nzuri na zina hadhi ya kimataifa. Abiria hachukui zaidi ya dakika saba kukaguliwa na abiria anayewasili anachukua dakika tatu kupata huduma za uhamiaji hadi anatoka nje ya...
8 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wakuu Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya Katika pitapita zangu za Amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya...
1 Reactions
4 Replies
381 Views
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life (CLC), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu kama ‘Kiboko ya Wachawi’, imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo, huku...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi Habari ni zile zile za matatizo. 1. Video 2. Watu kutekwa 3. Mafuriko. 4 Matatizo ya maji 5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala...
15 Reactions
29 Replies
1K Views
Uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha. Uhai wa mtu ni very cheap sana huko Arusha. Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi...
2 Reactions
10 Replies
814 Views
Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo...
3 Reactions
96 Replies
8K Views
Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au...
10 Reactions
13 Replies
628 Views
Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family...
1 Reactions
6 Replies
273 Views
Wakuu yuko wapi Tally Hunter? msaada tafadhali
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Huyu jamaa ni mtu ambaye sikumjua sifa zake vizuri kumbe ni mwizi, tapeli na jambazi sasa ilitokea siku moja nikamkabidhi mzigo wangu anipelekee stendi na Mimi nikawa nimeenda nyumbani kujiandaa...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Kila mtu ni shahidi wa suala hili; Polisi wa nchi hii ndo wanaongoza kwa kuishi kwenye vijumba vidogo kama mabanda ya kufugia kuku, bata na kanga. Nimezunguka na kuishi mikoa mingi ya nchi hii...
20 Reactions
154 Replies
19K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika...
8 Reactions
112 Replies
3K Views
Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika...
4 Reactions
28 Replies
577 Views
Ni ushauri tu Kwa ndugu Zangu wa Chadema kuelekea 23 September Hawa Jamaa walituliza ghasia pale Magomeni Mwembechai na hadi Leo hii ndio tunashuhudia Kitimoto haikauki Jiji zima la DSM Chadema...
8 Reactions
19 Replies
521 Views
Back
Top Bottom