Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa...
Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho...
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia...
WATU WANAOJIFARIJI SANA WANA HATARI YA KUBAKI WALIPO MAISHA YOTE.
#Wale ambao kila kitu ni mpango wa Mungu hata kama ni uzembeo wao.
#Wale ambao wanajipa matumaini ya kufanikiwa ilihali hawana...
The house has passed a bill that will force TIKTOK 's Chinese parent company to sell the social media platform or face a ban in the US.
---
A TikTok sale could raise antitrust concerns
From...
Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira.
Na Husafiri Bila Kuwa Na...
Zimebaki siku 3 tu kufikia hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inayotarajiwa kufanyika Septemba 21, 2024.
Kupitia maandiko yanayoangazia "TanzaniaTuitakayo"...
Waheshimiwa Waafrika wenzangu mlioko hapa Mosi kabisa nipende kuchukua Fursa hii Kunikaribisha Mimi GENTAMYCINE kuja Kujumuika nanyi katika hili Tukio lenu la kutimiza Miaka 120-60 katika...
Nimeona mnawasakama sana walimu, mnawaona kama ni watu maskini lakini nikiangalia kada zingine za halmashauri wanakaa juu ya mawe tu hakuna utofauti wowote wa maisha kati ya walimu na watumishi...
Ninapolipa nauli ya Bus hakuna kipengere kinachonitaka kitazame movie au miziki.
Mabus mengi ya mikoani ukiisha ingia waanza kukuwekea nyimbo za injili ( wazee kwa kaswida wanapuuzwa), Kisha...
Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake.
Hii ni...
✍️"Zeno wa Citium
Hii ni kanuni kuu katika kuishi, kila jambo lina taswira ya umilele lakini halina hakika ya umilele, kila wakati mambo hubadilika
Una muda wa kufikiria kuwa unaye mtumaini ipo...
Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wilaya ya...
Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kufanya kazi ambayo unatishiwa kufukuzwa kila siku. Hali hii inauwa kabisa ubunifu na uchapa kazi maana huna uhakika na kesho yako.
Au ulishawahi kuwa na cheo...
Habarini wanajamii forum,, nilikuwa nahitaji msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu ya accountant with it,,maana ndo niliyoipata
kuhusu upatikanaji wake wa ajira au kwa kujiajiri binafsi...
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za...
Ni muhimu sana
Nataka kununua kadi yaani N- Card nipo Tegeta kimakazi
Naomba kuelekezwa wapi naweza pata huduma hiyo?
Nasisitiza nahitaji kununua tu hivyo mniambie wapi naipata
Aksanteni
Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika...
Tunaongozwa na utawala wa kitapeli, na wa kinyang'anyi tu
Ona dola inakaribia elfu 3 halafu kuna mazombi wanasema anaupiga mwingi
Hii serikali ni ya kitapeli na ya kishetani tu
Ni kichaa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.