Wanabodi.
Mwandishi Mkongwe wa TBC Benjamini Rwegasira aliyekuwa katika kituo cha Bukoba na baadaye kuungua ugonjwa wa kiharusi kwa kipindi kirefu amefaiki dunia na kuzikwa katika kata ya Gera...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi...
Kwanza WAALIMU tunawapenda sana ndio maana tumewaamini kuwafundisha Watoto/wadogo zetu.
Lakini hii imekaaje unatoa oda zaidi ya wanafunzi wa 5 wakuletee fimbo za kuwaadhibu?
Hatukatai adhabu...
Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa...
Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na...
Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu.
1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza...
Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii.
Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa...
Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele...
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina dhidi ya Waziri wa Kilimo, Waziri wa Fedha na taasisi saba zikiwamo kampuni, inatarajiwa kusikilizwa leo Jumatano Septemba...
Yaani kama Mtu mzima hadi sasa hujajua na hujui kuwa Balozi ni Mwakilishi namba Moja wa Rais wa Taifa husika nchi fulani na kwamba kila Siku au mara kwa mara huwa wanafanya Mawasiliano ya moja kwa...
Naomba nijikite kwenye mada na itapendeza ukiweka mchango wako kwenye uzi huu.
Nadharia ya maisha na ushahidi wa kihistoria unaonyesha kuwa kuna watu walipokutana na watu flani maisha yao...
Jina Bagamoyo linatokana na maneno ya Kiswahili "bwaga moyo," maana yake "weka moyo chini," ikionyesha jukumu lake la kihistoria kama mahali pa kupumzika na matumaini. Kabla ya kuwa mji mkubwa wa...
Wana jf naomba kufahamishwa tofauti ya majukumu kati ya Mamlaka ya viwanja vya ndege na Mamlaka ya usafiri wa anga.
Kwanini hizi mamlaka zisingeunganishwa ikawa moja ,yaani mamlaka ya viwanja vya...
Kuna huyu mwalimu rafiki yangu hapo halmashauri, mwezi wa pili amekopa 28m kutoka CRDB, amechukua 23m kumfungulia mke wake wa mtoto moja duka la boutique hapo centre.
Biashara ina miezi 8 ila...
Wakazi wa maeneo ya Bulumawe mtaa wa wa Dovya kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni tulikuwa tunapata shida sana hususani kipindi cha mvua kutoka na ubovu wa barabara.
Lakini sasa kipande cha...
Kuna tetesi kwamba Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments), itafanyika kwa kila mlengwa kwa kuzingatia mwezi wa ajira ya mwajiriwa....Kwa mfano kama uliajiriwa mwezi wa tano, basi Nyongeza hiyo...
💼 MHADHARA NA.4
Wapo wanawake ambao baada ya kuolewa wanaamua kufunga biashara zao halali walizokuwa wakizifanya awali kabla ya kuolewa, kuna ambao wanaamua kuacha kazi, wengine walikuwa mbioni...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh Abdallah Mwaipaya amesema akiwa DC wa Mwanga aliingia Kanisa la KKKT mara nyingi kuliko Wakristo wengi Kwa sababu ya kuvutiwa na Hayati askofu Dr Sendoro.
DC Abdallah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.