Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola ...
40 Reactions
104 Replies
5K Views
Habari wapendwa! Katika shughuli zangu za ufundi umeme huwa ninatembea na jenereta! Baada ya kazi huwa natest mitambo ili mteja wangu aone kila kitu kinavyofanya kazi. Hivyo nikiwa Dar nikinunua...
6 Reactions
19 Replies
963 Views
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta? Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwa kuwa miaka 40 wanaanza kuhesabu ni mzee, umepevuka, nami nimefika hapa ni muda wa kuwatia moyo wengine kwamba chochote unachokifanya,kifanye kwa moyo na akili yako yote ili kikupeleke hatua...
7 Reactions
14 Replies
551 Views
Benki gani unapiga simu hawapokei na unaambiwa eti utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, mitandao yenyewe ukienda haujibiwi instant. Benki gani eti miezi miwili net unafatilia mkopo...
2 Reactions
17 Replies
441 Views
Anonymous (ab68)
Changamoto yetu kubwa kutoka Mtaa wa Kanindo Kata ya Kishiri Nyamagana Mwanza ni suala la maji hakuna kabisa. Wakazi wa maeneo haya wanapata sana tabu ya kupata maji hata ya kunywa. Mradi wa maji...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Watu watatu wameuawa, huku mama mwenye nyumba akijeruhiwa na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Segubwawani, Kata Nala jijini Dodoma. Waliouawa ni watoto wawili wa familia moja ambao miili yao...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habarini, Kama sikosei takwimu zinasema hifadhi ya mlima Kilimanjaro ndo inayoongoza kwa kuingiza fedha nyingi zaidi za kigeni hapa nchini kuliko hifadhi zingine. Najiuliza hivi zile barafu pale...
2 Reactions
5 Replies
253 Views
Kwa ambao hamuijui Mayotte kama mimi ni kuwa Mayotte ipo Comoros ila inamilikiwa na Ufaransa na Rais wao ni Emmanuel Macron. Kwahiyo mimi hapa Tanzania kila siku nawaza kuhama tuu niende mamtoni...
11 Reactions
129 Replies
22K Views
#HABARI Mtoto Rwegasila Jackson (14) mkazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akiogelea na wenzake kwenye fukwe za Gymkana Manispaa...
1 Reactions
4 Replies
248 Views
Wakuu salama! Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla. Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye...
14 Reactions
34 Replies
1K Views
GRAPHS ZA MAISHA: KUPANDA, KUSHUKA NA KÛWA UNIFORM Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maisha ni hesabu ya 📉 📈 Graph. Maisha ni safari. Katika safari kûna nyakati, mazîngira, na wahusika àmbao...
9 Reactions
10 Replies
564 Views
Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo...
0 Reactions
9 Replies
360 Views
Mtu akisha kosa aibu anaweza fanya au ongea jambo lolote lile. 1. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kuozesha binti yao na akawa sio bikra, now si aibu. 2. Ilikuwa ni aibu mtoto kuzalia nyumbani bila...
9 Reactions
27 Replies
644 Views
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya...
33 Reactions
182 Replies
24K Views
Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako...
25 Reactions
211 Replies
4K Views
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya...
28 Reactions
89 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kijijini kwetu ukienda mashineni kusaga unga wa sembe, unarudi na dona, mtama au unga wa mhogo. Yaani sembe yote inamezwa(unajichanganya na huo unga wa mtama) Kijijini kwetu ukitaka kujenga...
7 Reactions
13 Replies
424 Views
Back
Top Bottom