Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa. Maendeleo yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1% tu kutoka...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia...
2 Reactions
5 Replies
349 Views
Wapendwa naombeni msaada nimenunua jiko la umeme sasa kwenye kujaribu naona linatoa moshi chini Je hii ni kawaida?
0 Reactions
7 Replies
416 Views
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio...
21 Reactions
43 Replies
2K Views
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya...
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums . Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho...
2 Reactions
0 Replies
387 Views
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya...
8 Reactions
34 Replies
704 Views
Jeshi letu pendwa limekuwa likishirikiana vizuri na wananchi huko nyuma katika kufanya kazi za jamii mbali mbali Ombi letu kwa jeshi letu tukufu tar 23 najua wengine tunaenda kusakanya hela...
1 Reactions
9 Replies
273 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi...
3 Reactions
5 Replies
909 Views
Leo tunakuzwa katika misingi ya kujitetea na kukwepa kuwajibika karibu katika kila eneo. Hatujifunzi na hatutaki kukubali kuwa tunapaswa kuwajibika asilimia mia moja juu ya maisha yetu na badala...
19 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kuna mdau alileta kuhusu suala la Mtaa wa Alesika, Mbezi Beach kwenye baa na Kanisa la Angels Ministry kuwa kero kutokana na kulele kubwa kutoka kwao na walikuwa kikesha usiku kucha...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Katika harakati za mahusiano kuna changamoto nyingi. Mtu anaweza kukuacha kwa sababu ndogo tu mfano, Huna hela kwa kipindi fulan. Akakimbilia kwa mwingine anayefikiri ni bora zaidi. Tamaa ya mali...
3 Reactions
23 Replies
927 Views
Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
6 Reactions
15 Replies
390 Views
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana...
2 Reactions
5 Replies
208 Views
Salaam, Kuna watu ushamba ni life style yao bt wao si washamba ni watu smart. Kuna mtu, nafahamiana nae kitambo, kutokana na life style yake ya kishamba, nilijiaminisha ni bonge la mshamba...
14 Reactions
41 Replies
1K Views
Wazazi wanaogopa kuonekana wazembe Pindi Watoto wao wakipotea Hivyo hadi uswahilini Watoto wanapelekwa Kayumba na Wazazi wao Mungu wa mbinguni Utuhurumie sisi
1 Reactions
1 Replies
126 Views
Siku ya Usalama wa Wagonjwa Duniani ni maadhimisho ya kila mwaka ya tarehe 17 Septemba, iliyoanzishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ili kuongeza uelewa wa kimataifa kuhusu usalama wa...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Back
Top Bottom