Hivi wakuu zile Safari za TRC kwenda Moshi bado zipo?
Haki hii serikali ni Hangaya ni failure kabisa yaani kila mradi umekufa
Cha kusikitisha hatusikiii Tena treni ya kati ikifanya kazi au...
Yani Katarama ikotoka kesi hii inakuja kesi nyingine, kama sasa hivi wana soo nyingine huko LATRA.
sasa wahuni mtaani wanasema allys roho inamuuma maana competition ya Katarama ni next level ndio...
Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo
Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na...
Nimeona mijadala mingi sana watu wakijaribu kumfananisha Chriss Brown na Michael Jackson, wengi wakienda mbali saana na kusema Chriss ni mwanafunzi wa Michael Jackson, sikatai maana Mwanafunzi...
Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto...
Wakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika...
Silalamiki wala!
After all, I am a man of culture 😉. Calling all other men of culture to congregate and appreciate nature’s magnificent creation.
Kumbe katika jina la utamaduni ni sawa kuonyesha...
1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati...
NAMNA YA KUWEZA KUISHI DAR! ISHI KIBEPARI
Anaandika Robert Heriel
Ni ndoto ya Vijana wengi hapa nchini kuja mjini hasa Dar es salaam. Hilo sio ajabu kwani hata katika mataifa mengine hiyo ni...
Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno.
Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu.
Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo...
Mara nyingi tunapo elekea uchaguzi mkuu, imekuwa ikidaiwa kuwa "genge la Chadema" huwa wanapanga matukio ya kihalifu maeneo mbalimbali kama vile, kuteka, kuchoma moto, mashambulizi n.k kwa lengo...
Ukizingatia hali yako ya sasa kama ungekuwa na uwezo je ungependa siku zirudi nyuma au ungetaka zisogee mbele chapu au zibaki hapohapo zilipo.
Mimi kwakweli zirudi nyuma tu kwakweli tena zirudi...
Nimepita vijiji vingi vya Tanzania , Zambia, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na South Africa hii, Kuna vitu vinafanana sana kasoro vijiji vya South Africa ( baadhi sio vyote ) vimechangamka na kuweeza...
Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua...
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko.
Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya...
"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.