Ni ukweli usio fichika asilimia kubwa kama 90% ya diaspora wanaishi
kwa kufanya kazi ambazo ni Unskilled Labour.
Wengi wao maisha ni ya kawaida tena ya kuwa busy sana japo wanapenda
kupiga picha...
Historia ya Msingi kwa wasio na habari:
1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina.
2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola...
Habari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibuni nataka niwe natumia permanently kila siku. Nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki...
Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria.
Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma...
Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho...
Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala...
Ni kijana wa 24yrs old ana miaka 6 sasa hapa Dar es Salaam kumaanisha ameingia jiji hili akiwa 18yrs.
Ni kijana ambae anahisi alizaliwa kwa bahati mbaya kwamba ni kama wazazi wake hawakujipanga...
https://www.youtube.com/watch?v=RYUxjy76CPg
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema maandamano yaliyotangaza na Chama hicho kupinga vitendo vya utekaji Nchini yako...
WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea...
Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano.
Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama
Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote...
HAKUNA TOFAUTI KATI YA WANAWAKE WA MAKUNDI HAYA MAWILI
Kwanza nawasalimu;- Bwana Yesu asifiwe/Assalamu Alaykum. Pili naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu kwa kuyataja makundi mawili...
Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985).
Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya...
Habari,
Hali ya mgawo wa umeme imerejea kwa kasi sana ni wiki tangu kuanza kwa changamoto hii. Ndani ya jiji la Dar es Salaam wilaya ya kinondoni hali sio nzuri.
Watanganyika tulijua baada ya...
Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake.
Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu
Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye...
Ni kwa miezi kadhaa baada ya vilio vya mgao mkali wa umeme, hali imetulia, baadhi ya maeneo umeme haujakatika miezi mitatu mfululizo.
Ndivyo inavyobidi serikali itutumikie wananchi, kwa hali...
Wakuu: Kheri ya Maulid
Kuna ka slogan haka kamekuwa maarufu sana siku hizi, Wengine wanajiita watoto wa mjini, wengine wanajiita wazawa wa mjini, wengine wanajiita wazee wa kumanipulate mfumo n.k...
Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini.
Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.