Samaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula...
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa.
Hapa kitaa kuna...
Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo...
Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa...
Hivi maana halisi ya Dotto na Kulwa ni nini? Au chimbuko lake ni nini? Kwa sababu mimi niliambiwa ni mapacha ambao hawafanani ndio wanaitwa Dotto na Kulwa; au watu wanaofanana je ni kweli?
Watu watatu wameuawa, huku mama mwenye nyumba akijeruhiwa na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Segubwawani, Kata Nala jijini Dodoma.
Waliouawa ni watoto wawili wa familia moja ambao miili yao...
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto
Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu
Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako...
Haya sasa naomba kujua tofauti ya Ukatili na Mauwaji yanayotokea sasa Mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam na Kilimanjaro na yale yaliyokuwa yakitokea Mkoa wangu wa Asili (wanakotoka Watu wenye Akili...
Tanzania umaskini umepungua sana. Ukichekesha watu kupitia comedy tayari wewe ni star na siku kadhaa mbele tunakuona airport na begi lako unaenda mkoa.
Ukiuuza mazao kijijini lazima uende MKoa...
Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK
MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya...
Natumai wazima.
Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na...
Habari!
Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya...
Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani...
Kazi ya kutafuta miili ya watu watano wanaohofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuzama ndani ya Ziwa Victoria imesitishwa kwa muda, kutokana na hali mbaya ndani ya ziwa, hivyo...
Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti...
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo...
Ndugu zangu kulingana na hali zetu kiuchumi kuwa siyo nzuri, kuna mdau hapo chini amependekeza kushushwa kwa za kondom nchini, tunaziomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.