My Take
Kiukweli Utapeli wa Dini Za Wazungu na Waarabu Huwa unanipa Raha sana ya Kicheko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂👇👇
https://twitter.com/zoomafrika1/status/1828132965932786005?t=N7i4nl8cxrSGmancTJ2HAg&s=19
Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa...
Dar es Salaam, Septemba 10, 2024
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika tarehe 28...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya...
Taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kulaani mauaji ya watu Watatu wa familia moja huko Dodoma imesema, hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio ya kikatili...
Tunatumia muda mwingi kwenye simu zetu za mkononi, iwe ni kwa kutuma ujumbe, kupitia mitandao ya kijamii, kuangalia barua pepe au kufuatilia habari mpya. Kwa kawaida tunazima simu zetu pale tu...
Hi everybody,
Hope mnaendelea poa na majukumu ya kulisongesha gurudumu la maisha,
Mie naomba tu kuuliza maana hii hali huwa inajitokeza sana endapo nikikaa the same place for months, najipata i...
Wakuu, niko Singida hapa nimekula jana msosi sehemu inaitwa kwa Maclaree lkn sijavutiwa napo.
So naomba mnijuze sehemu inayopika msosi mzuri hapa Singida.
Habari zenu Wanajamvi.
Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande.
Kinachonitia mashaka kuhoji...
Kijana wa kiume una miaka 30 bado unaishi kwenu sikatai lakini huna mbele wa nyuma umekaa tu huna hata godoro na kitanda jua unaenda kufa masikini tu hii ni aibu
Kuna vijana wanakaa tu nyumbani...
Nawasalimu kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. SAMIA SULUHU HASSAN,
Kwa heshima na taadhima, napenda kukuandikia ujumbe huu nikiwa na...
Nimeona watu wakishare namna walivyopambana na baadhi ya matukio katika maisha Yao nami nimeona sio mbaya Leo nikaeleza namna nilivyonusurika kifo katika harakati za kutafuta maisha.
Mwaka 2007...
Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa.
Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
Habari zenu Wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Ratiba yangu Ya Muhimu kila Mwisho wa Mwezi ukifika Huwa Nacheki AFYA yangu (Napima na Magonjwa ya zinaa), na Afya ya akili na Vitu...
Kuna baadhi ya wazazi wamekuwa Na nongwa sana hasa pale umri unapoanza kuwatupa mkono. Mzazi, hasa hawa wa kike, anakuwa ni mtu wa malalamiko, usipoangalia vizuri na kulaaniwa utalaaniwa.
Kumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.