Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa wale watu wa kusafiri safiri sana, Kati ya mlima Sekenge uliopo Singida, mlima ulioua abiria kibao kwa ajali zake, yaani mkifika na basi mnasali kwanza. Enzi zile mkifika na basi abiria...
4 Reactions
247 Replies
78K Views
Ingredients 1.Dry Coconut 2.Tiger Nut 3.Dates 4.Banana Blend them together and extract the Juice 🧃 Refrigerate it and drink twice daily. Thank me later 🤝👌
2 Reactions
10 Replies
299 Views
Watu wa mazingira wako wapi? Kwa kuwa tu wanatafuta wateja ndio wapige kelele kwenye mitaa? Kama hapa tulipo ni fujo ya matangazo na nyimbo wakati jirani tu hapa pana hospitali na wagonjwa kibao...
6 Reactions
18 Replies
616 Views
Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu...
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo...
1 Reactions
10 Replies
339 Views
Naomba kuuliza kwa mweny updates ni lini jeshi la uhamiaji litaita watu kwaajil ya mafunzo? na utaratibu wa jeshi la uhamiaj upoje kwa anaeingia na degree na yule wa form four. Nimeulizwa hayo...
3 Reactions
9 Replies
513 Views
Habari za asubuhi wanajamvi, Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha? Kwa ufupi ni...
5 Reactions
85 Replies
2K Views
Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili. Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni mtu mzima lakini kijana yaan ukienda znz ukabahatika kukutane nae kwenye botiiiukifika znz unaweza omba urudi dar kwa ajili yakeee N mcheshi mwenye hekima yaan hata kama una stress za ndoaa...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
Tanzania nchi yangu
1 Reactions
5 Replies
283 Views
KUPOTEZWA, KUJIPOTEZA, KUJITAFUTA NA KUJIPATA. Anaandika Robert Heriel. Kuhani. Nataka niwe kama Michael Jackson, Umejipoteza. Nataka niwe Kama Yesu wa Nazareth, umeshapotea Huko. Nataka niwe...
14 Reactions
26 Replies
3K Views
**** Siku ya Kimataifa ya Sayansi, Teknolojia, na Ubunifu kwa Kusini, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Septemba, ilianzishwa ili kuonyesha umuhimu wa kutumia sayansi, teknolojia, na ubunifu...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Huwa nashangaa hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikuwa kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa. Mimi kwakuwa ananijua ni tajiri mtoto...
17 Reactions
199 Replies
3K Views
Nawatakia watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Maulid.... 🇹🇿🙋🌹
8 Reactions
10 Replies
285 Views
Anonymous (41ab)
Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria...
0 Reactions
12 Replies
890 Views
Kila tarehe 16 Septemba, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa tabaka hili katika kulinda uhai duniani. Maadhimisho haya yalianza...
2 Reactions
2 Replies
355 Views
Katika nchi ambayo pesa ipo nje nje ni tanzania nashangaa wananchi mnalialia mitandaoni eti maisha magumu wakati maisha Tanzania ni marahisi sana na pesa zipo nyingi aisee. Hamna nchi naipenda...
21 Reactions
102 Replies
3K Views
Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
29 Reactions
172 Replies
7K Views
Naomba tumzungumzie kadri unavoweza kwa huyu mama yetu BI AMINA BINT WAHAB
0 Reactions
2 Replies
122 Views
Back
Top Bottom