Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.
Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka.
Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la...
Hizi ajali zinazidi kumaliza watu. Ajali hiyo imetokea Iringa ambapo watu 3 wakiwemo wanandoa ambao wamefunga ndoa siku 4 zilizopita.
======
Noah na Agnes wamefikwa na mauti katika ajali hiyo...
Mara baada ya taarifa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu...
Habari za mchana. Yaani jana nimeamini malipo na hapahapa duniani. Kuna rafiki yangu aliwahi kuja na kuishi kwangu mwaka 2018 sababu alikuwa na matatizo.
Alikaa kama mwezi, wakati wa kuondoka...
Hello Jf.
Kuna partner wangu umri ni 30+
Jinsia KE
Yaani ana hofu mno na vitu kama nyuki waliorundikana, uyoga, au wadudu wowote wamerundikana rundikana au viumbe vyovyote hasa wadudu. Yaani...
Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier...
Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao...
Aisee...nimekuja kukumbuka miaka ile baada ya jamaa mmoja kuandika kisa chake ingawa actually hakikuhusiana na aina ya usafiri sana.
Nakumbuka miaka ile ilikuwa unaposafiri kwenda mwanza ilikuwa...
Wakuu nawasalimu na kuwatakieni heri za sikukuu za Christ Mass
Kama ilivyo kawaida sehemu ya mikusanyiko huwa hakukosekani wenye maarifa mawazo na ushauri mbali mbali.
Ndio nimekuja kwenu...
Habari...!
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili katika chuo kikubwa Afrika mashariki na Kati. Katika kusoms kwangu toka nikiwa mwaka wa kwanza nilisikia chuo hiki kinafuata utaratibu wa Carryover...
Ndiyo wakuu, hii ni nyingine tena kutoka kwa Mwizukulu mgikuru ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa vijana wengi tunapitia joto ya jiwe, moja ya mambo yanayotufanya dunia tuione chungu ni hili la...
Anaeleza kijana SATIVA.
... RISASI ilipita kisogoni na kuenda kutokea kwenye kidevu.
Taya ya kushoto ilivunjwa vunjwa vipande.
Sehemu iliyoingilia Risasi mpaka leo nywele hzioti kabisa...
Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
BONGO MOVIES & BONGO FLEVA COMPINATION
KATIKA JUHUDI YA KUINUA NA KUENDELEZA SANAA NCHINI TANZANIA
Kumekuwepo na mabadiliko makubwa sana katika Tasnia hii ya Muziki wa Bongo fleva, maana wasanii...
UMUHIMU WA ELIMU.
Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.