Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Muhula wa Patrice Motsepe Rais wa CAF unatarajia kukoma hapo mwakani na duru zinaarifu Bado hajaweka hadharani kama atawania muhula wa pili. Ila kama ataamua kuacha na kuwa busy na Biashara zake...
0 Reactions
5 Replies
162 Views
Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wa gwaan, Jah Rastafarai, Selasie I King. Wakush mpo? Ni amanii? Swali hili linawahusu pia ma-vegetariano (sio ma-vegan), watu wote ambao kwa sababu zao na za ki-maadili hawali wanyama (ila...
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Anonymous (3a67)
Habari Wanajamvi, Tunapoelekea kwenye suala la Uchaguzi nchi imeendelea kuchafuka kweli, matukio ya utekaji na kupotea watu yanazidi kuongezeka. Baadhi ya Wananchi hususan wafuasi wa Vyama vya...
2 Reactions
10 Replies
424 Views
Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Baadhi Watetezi wa haki za binadamu hususani watetezi wa haki za Mtoto nchini September 14, 2024 wamefanya matembezi ya amani kupinga ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti ambavyo kwa mujibu...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana. Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Uwanja wa CCM Jamhuri hapa Dodoma umekuwa ukifanyiwa maboresho ya mara kwa mara hasa kwenye eneo la kuchezea (pitch) na maeneo ya jukwaani lakini katika vyoo mara nyingi hali sio hali. Uwanja huu...
1 Reactions
3 Replies
358 Views
Mzee mmoja, tumwite Hekima, aliamua kumpa kijana wake gari lake la miaka mingi baada ya kuhitimu masomo ya Chuo Kikuu. Kabla ya kumkabidhi, alimtaka alipeleke kwa watu tofauti ili kujua thamani...
7 Reactions
10 Replies
321 Views
SaveTheDate! Hafla ya utoaji wa Tuzo za Stories of Change Msimu wa 4 inakaribia. Mwaka huu Washiriki walionesha 'Nguvu ya Kalamu’ zao kwa mawazo, maoni na michango ya kipekee katika kuijenga...
1 Reactions
4 Replies
410 Views
1 Corinthians 7:25-28 MSG Are you married? Stay married. Are you unmarried? Don’t get married. But there’s certainly no sin in getting married, whether you’re a virgin or not. All I am saying is...
7 Reactions
25 Replies
693 Views
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
1 Reactions
9 Replies
944 Views
Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji...
1 Reactions
5 Replies
377 Views
Credit kwa Jewel Fitila, Mmiliki wa andiko. UKWELI KUHUSU UISLAMU: 1. Je, Qur'ani inafafanua neno "Allah"? 2. Je, jina "Allah" liliteremshwa kwa mara ya kwanza kwenye Qur'an? 3. Je, Qur'ani...
3 Reactions
31 Replies
959 Views
Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Mzuka wanajamvi! Hii siyo sahihi nchi ambayo inajinadi kwa demokrasia, utawala bora, sheria na kujali haki za binadamu. Ni hawahawa wazungu wakiingia makubaliano na kuweka sahihi wanaulinda...
1 Reactions
6 Replies
282 Views
Serikali inatukamia mikodi mikubwa mikubwa kiasi cha kufunga biashara zetu hasa hizi ndogo ndogo. Hakuna sehemu ya kukwepea kabisa. Kanisani nako tunakamuliwa haswa kwa micaho iliyopakwa rangi...
4 Reactions
13 Replies
303 Views
Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma...
25 Reactions
50 Replies
2K Views
Wadau za wikiendi! Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika...
5 Reactions
21 Replies
689 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu...
1 Reactions
6 Replies
195 Views
Back
Top Bottom