Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Maisha ni popote, kazi zote zinalipa, mwisho kabisa kufa maskini ni kujitakia. Muwe na Siku njema
18 Reactions
58 Replies
3K Views
Kipindi fulani, nikiwa ninafanyia shughuli zangu maeneo ya machimbo ya dhahabu, nilifahamiana na kijana mmoja kutoka mkoani Kigoma. Alikuwa anafanya vibarua machimboni. Kuna wakati alinifuata kwa...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Huo usemi una ukweli kiasi gani kwa Jeshi letu la Polisi?
4 Reactions
4 Replies
255 Views
Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship? Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Asili ilipochagua usiku iwe ndio wakati wa kulala kuna siri kubwa ilifichwa huko Kifo kinauma sana hasa anapoondoka mtu tumpendaye sana...nafuu ni kwamba unajua kwamba kafa na hutaweza kumuona...
20 Reactions
119 Replies
22K Views
Ni ajabu sana kuona Daktari aliyesoma miaka 5 na kukaa hospitali mwaka mmoja yupo mtaani kwa kukosa ajira, juzi nimekutana na daktari aliyemaliza mwaka 2020 Udom, ni dereva bodaboda. Nimeambiwa...
21 Reactions
163 Replies
10K Views
Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila...
1 Reactions
15 Replies
758 Views
Serikali imewataka wananchi kuepuka kutupa majokofu ya zamani na vifaa vya kuzima moto vyenye kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni au kuongeza joto duniani. Aidha, wananchi wanashauriwa kuepuka...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maisha magumu sana aisee. Asubuhi asubuhi mtu anawaza kutapeli. Halafu sijui hawajui kuwa tulishawastukia! Kuandika kwenyewe hawajui. Wanadhani kila mtu anaishi nyumba ya kupanga. Wanasaikolojia...
4 Reactions
9 Replies
292 Views
Wakati wengine wanasema bora kwenda kazini kuliko kushinda na watoto na mzunguko wa kazi za nyumbani, kuna mtu hayo ndiyo maisha yake. Atafanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuosha vyombo...
8 Reactions
11 Replies
723 Views
MOROGORO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ametaka mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ardhi Morogoro unaojumuisha eneo mahali chuo kilipo na eneo la mlima Kola...
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Habari zenu humu ndani Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi...
0 Reactions
8 Replies
325 Views
Kwa sasa Arusha inaweza kuwa inaongoza kuwa jiji la hovyo kwa watumiaji barabara hasa eneo la mjini kati. Aina na watu na tabia zake inahitaji kuweka utaratimu wa parking, uelekeo wa njia. Mjini...
1 Reactions
7 Replies
377 Views
Habari za usiku wakubwa. Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala...
0 Reactions
7 Replies
624 Views
Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea. Kuna mahali bar kubwa au...
6 Reactions
76 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa msisitizo kwa jamii za kitanzania kutumia utandawazi kuongeza maarifa katika kuleta maendeleo badala ya kuacha utandawazi...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Huyu jamaa kweli alikuwa tapeli aliyewasha taa haikuhitaji mwanga kumuona. Ni tapeli, muhuni afu Lina kejeri na jeuri za kishamba Hasomi hata Biblia wala kutumia mifano kwa kusoma neno la Biblia...
6 Reactions
16 Replies
474 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili...
3 Reactions
8 Replies
354 Views
Wakuu, Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza...
5 Reactions
14 Replies
532 Views
Back
Top Bottom