KOKNI MUSLIM JAMAAT of DAR ES SALAAM, TANZANIA
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we...
Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma migodini...
Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka...
Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma...
Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza...
wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya...
Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mpululi, Dodoma anagawa anawapora ardhi Wananchi wanyonge kisha anawapa vitisho
Mtaani kwetu tuna Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa ambaye amekuwa akiwaliza watu...
Hii ndoto itakuwa na maana gani?
Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa...
Katika pita pita zangu Jf huwa nakutana sana na thread za kiimani za kina bwana Mshana Jr , Bujibuji Simba Nyamaume na huyu Rakims
Katika kusoma thread zao nikawa kama naanza kuzielewa thread za...
Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga.
Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini
Kwa miaka mingi wanasayansi...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na...
Salaam wakuu, nadhani haya mambo ya kufanya meditation, chanting na mambo mengine yanayohusisha Brain kwa kiasi kikubwa Acha kabisa.
Nilikuwa najifunza lakini kilicho nitokea ni Mungu tu ndio...
"Ukistaajabu ya Musa,Utayaona ya Firauni", katika hali ya kushangaza katika soko la Vingunguti lililopo jijini Dar es salaam ambapo huchinjwa zaidi ya ng'ombe 500 kwa kila siku, ni kwamba kati ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa...
Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.