Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya...
Habari za muda, ndugu zangu.
Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza...
Watangazi wa radio ya masafa ya fm ya Banana wameuandikia uongozi wa radio hiyo barua wakiutaka kulipwa mishahara ya ya miezi mitatu vinginevyo watachukua hatua stahiki.
Wametoa saa 72 kwa...
Katika vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine, Russia imebadilisha na kuboresha mbinu zake za kijeshi ili kuongeza shinikizo kwa Ukraine. Baadhi ya mbinu mpya ambazo Russia inatumia...
Ni dhahiri kwamba hakuna kiumbe kisichokuwa na jina, iwapo kiumbe hicho kiliumbwa wakati dunia ilipoanza au hata kimebuniwa hivi karibuni mfano vile vitu vilivyoumba kiteknolojia, mithili ya...
Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii...
Wakuu wapenda historia na investigative history!
Je ni kweli Yoweri Museveni baba yake alitokea kwa abatwaa na mama yake alikuwa mtusi?
Kama ni kweli je kwanini hawasaidii watwaa wenzie wanaokufa...
Habari wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa sana ya kupinga Vita dini na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe, na maneno haya utakuta...
Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia...
Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya...
Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi...
The tale of Afande is somehow orchestrated by people inside the system, If you think well outside the box.
Just try to remember when was the issue happened and it was in which situation a...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1)...
Iko hivi, siku za nyuma kama wiki tatu zilizopita nilikuwa naongea na mama kweny simu, tulikuwa tunaongea kuhusu maswala ya kutumiana pesa, nikwambia ntamtumia muda si mrefu tukimaliza kuongea...
Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa...
TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya kiroho na kimwili yanakanuni Zake.
Ndàni ya Damu ya Mtu upo uhai. Damu ya...
USALAMA WA KISAIKOLOJIA (Chanza cha maisha bora)
Usalama wa kisaikolojia ni hali ambayo watu wanajisikia huru kutoa mawazo, kushiriki katika mazungumzo, na kuchukua hatari bila hofu ya adhabu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.