Wapendwa habari zenu
Napenda ku-share nanyi hiki kitu kinatokea kwenye simu yangu anytime.
Simu yangu kila wakati inaleta neno juu ya screen " SENDING SMS" kisha inatoweka, simu inaweza kua muted...
Nimeshindwa kusimamia lakini nimeona pikipiki zaidi ya 200 zimepaki na Vijana kwa mamia wanachungulia kule kwenye Mto
Genta unaweza kutujuza yaliyojiri maana Wasiwasi ndio akili
Yasijejirudia ya...
Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia; najua Tanzania hatuna ngamia wengi kama Kenya au Somalia na Ethiopia ila wapi hapa Dar naweza nunua maziwa ya Ngamia?
Msaada wana Jamii
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu.
Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
Wakati mwingine Mtazamo, Hisia au Itikadi juu ya jambo huweza kuathiri maamuzi wakati wa kutafuta Ukweli wa jambo.
Unapofanya Uhakiki wa Taarifa yakupasa udhibiti Hisia, usiwe na Upande au...
Rais Samia amewakumbusha wanahabari kuwa Urais ni taasisi hivyo kuna masuala ambayo yeye kama Samia hahusiki.
Amelalamikia suala la waandishi kuandika story kama Tanzania Ikishtakiwa Umoja wa...
Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti...
Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila.
Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo.
swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta...
Ohaaaaaa,
Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini,
Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri.
Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako.
Kuna...
Kusoma Master by Thesis ina mfanya mhitimu awe deep zaidi ya aliyesoma
Master by course work and dissertation hii ni kwa wa sababu Thesis inakuwa
deep and original kwenye eneo la umahiri alilo...
Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa.
Ninavutiwa na hao...
HabariLeo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini?
Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
Wasalaam wanajf
Kama kichwa mada hapo, hili suala linasikitisha sana kwa kweli nimeona nitoe ya moyoni juu yanayoendelea, inasikitisha sana pale ambapo tunaona Rais anafumua mifumo ya mtangulizi...
Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo...
Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi?
Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na...
Kwa maoni yangu adhabu hii bado ni valid na inapaswa kutolewa kabatini na kurudishwa kwenye utekelezaji.
Inawezekana watekaji na wauaji wameshajipimia adhabu na hivyo kuamua kufanya wayafanyayo...
Nilileta uzi hapa kuomba ushauri Tv gani nzuri kwa bajeti ya 500k...
Wachache walisaidia, wengi waliponda bila kutoa msaada, nikaona isiwe tabuu nitumie zangu mwenyewe
Hatimaye nikazama mjini...
toka asubuhi ukiifungua inakuwa blank as if hamna tena? tumesha update taarifa ila ukibonyeza mshiko fasta inakaambia nenda uka update namba yako ya simu sa nashangaa tume update mpaka maa alama...
Leo hii tumetambua umuhimu wa treni kwa uchumi wa taifa letu.
Mabasi ni kero kubwa sana. Na yanachelewesha sana.
Sasa lini? Dodoma Mwanza kitakamilika?
Soma Pia: Samia Great Railway (SGR)...
Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.