Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu...
Muswano mdau.
Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini.
Nchini...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezindua Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi huku akiipa majukumu bodi hiyo kulisimamia shirika ambalo linaenda...
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi...
Watoto 30 kati 50 waliofanyiwa uchunguzi katika kambi ya siku 10 iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanyiwa upasuaji wa moyo.
Akizungumza wakati wa kufunga kambi...
Mapema leo Septemba 13, 2024 hapa Manispaa ya Songea, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesalimiana na wanachama wenzake wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, UWT, na UVCCM.
Mbunge wa...
Sherehe ya Tuzo za Stories of Change 2024 inakaribia, tufuatilie ili usipitwe.
Septemba 21, 2024, Maandiko Bora yaliyoshinda katika Msimu wa 4 wa Stories of Change katika kuipendekeza Tanzania...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni
Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri...
Leo nimetoa Tshs 575,000 kupitia mtandao wa Airtel na nimeshanga kukatwa Tshs.8,000. Ndugu zangu Serikali iko wapi tunaibiwa mchana kweupe. Nimesikitika sana na makato hayo. Serikali chukueni...
Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa...
https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini...
Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi.
Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba...
Septemba 21, 2024, tutayatambua Maandiko yaliyoibuka kidedea kwenye Shindano la Uandishi wenye Tija Mtandaoni la Stories of Change ambapo mwaka huu (2024) maandiko yalitoa mapendekezo kuhusu...
Jinsi ya kuboresha mipangilio ya usalama ya kivinjari 'Privacy Settings' kwa hatua zifuatazo:
A. Safari (Mac/Iphone): Ingia Preferences > Privacy tab na chagua ‘Prevent cross-site tracking’.
B...
Natambua wengi wetu hapa unapotaja habari za ushirikina na mambo ya giza watakwambia hayo ni mambo ya waafrika. Tena wasioelimika. Lakini katika dunia hii hakuna binadamu asiyekuwa na haya mambo...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo.
Ila kama ni kweli basi...
Habari wakuu, mida ya saa12 asbh nipo zangu Kituoni pale Miyuji nasubiri basi la Machame niende zangu 'R Chuga' saa12 kama na dakika 20 hv Shabiby likapita, dakika km ishirini bdae Machame...
Nataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.
Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote .
Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima?
Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ndiyo utaratibu wa kufuata inapotoea mtu ameuawa kwenye maeneo yenu na aliyemuua mtu huyo hajulikani
Kumbukumbu la Torati 21:1- 9
1 Aonekanapo mtu ameuawa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.