Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma...
8 Reactions
175 Replies
8K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili (miaka 17) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake, John Lema (18) chanzo kikielezwa kuwa, mabishano ya umri. Mwanafunzi...
2 Reactions
11 Replies
517 Views
1. Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 June 2024 walifika polisi 10. Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela 2. Walipozuiwa kuingia wote...
26 Reactions
85 Replies
4K Views
Ujenzi wa uwanja wa arusha kwa ajili ya afcon ni fursa adhimu kwa waandaji kwa maana kwamba africa iko mikononi wa east africa 2027 Nimekuwa nikufuatilia mijadala ya wadau wa michezo na...
3 Reactions
7 Replies
352 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Nurdin Babu amezindua msimu wa tano wa Tamasha la Kahawa(Kahawa Festival) na kutoa wito kwa wananchi kujikita kwenye uzalishaji wa zao la Kahawa. Amesema zao la Kahawa...
2 Reactions
0 Replies
234 Views
Maisha ya binadamu awali yalikuwa ni ya mjumuiko(umoja) kitu ambacho kinampezesha Mungu sababu ndani ya maongezi ya watu wengi Mungu anakuwepo(yanazungumzwa mema tupu) lakini imekuwa tofauti na...
2 Reactions
3 Replies
156 Views
Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa...
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia Chini ya...
0 Reactions
21 Replies
756 Views
Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia. Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli Ajali msafara wa Mkonda huko...
8 Reactions
14 Replies
881 Views
Kwa sisi wa kitambo kidogo wakati wa mwalimu sote tunaukumbuka utaratibu wa detention. Ilikuwa endapo umeikera serIkali basi kilichokuwa kikifanyika ni kukukamata kwa siri na kukuficha pahala...
2 Reactions
6 Replies
240 Views
AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna...
1 Reactions
1 Replies
238 Views
Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu...
0 Reactions
4 Replies
515 Views
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatarajia kufanya onesho la nane lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo (SITE) litakalofanyika Oktoba 11 Hadi...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Kwa hali inayoendelea kwasasa kwenye hii nchi kusema za ukweli nipo kwenye taharuki kweli aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi aisee na hali inayoendelea kwenye hii nchi hata sijui...
5 Reactions
8 Replies
251 Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Uongozi wa Kampuni ya mabasi hayo umesema mtu aliyekuwa ndani ya basi hilo na kuambatana na watekaji, mwanzo wa safari aligoma kutoa taarifa zake, lakini alilazimishwa kuzitoa, hivyo tarifa zake...
8 Reactions
148 Replies
11K Views
Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo...
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Leo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana. Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson...
7 Reactions
130 Replies
4K Views
Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi. Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni...
1 Reactions
7 Replies
233 Views
MADHARA YA NENO " ATANIONAJE" ...NITAONEKANAJE.. Mda mwingine ili maisha yaende lazima kuna vitu tuvikomalie. 01. Upo kwenye daladala nauli 400, umempa konda 500, kaminya kukurudshia 100, na ww...
3 Reactions
15 Replies
699 Views
Back
Top Bottom