Katika nchi nyingi za Kiafrika, viongozi wa kisiasa wamekuwa wakikabiliwa na maswali na ukosoaji kuhusu matumizi ya rasilimali za umma.
Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa...
nawasalimu nyote [emoji120][emoji120][emoji120]
Niende Moja kwa moja kwenye mada! Mimi napenda kutafakari juu ya mungu na maajabu yake hasa kwenye suala la uumbaji kwa ujumla, mwisho huwa naishia...
Wasiwasi wangu unatokana na utajiri wako baba: Umenunua chopa, na sasa unataka kununua treni.
Baba hela ya kununua chopa na treni umeipata toka kwa waumini wako tu? Huuzi ngada?
Unataka...
Habarini,
Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao...
zijue faida mbali mbali za vitu vilivyo kwenye mwili wako ulizokuwa huzijui
Ulishawahi kukaa ukaifikiria dunia? Ukafikiria Uwepo wa Mungu na ukubwa wake... Au ulisha wahi kufikiria Binadamu...
Salaam! Wakuu..
Juzi kati hapa nilideposit kiasi Cha pesa kupitia mtandao wa simu wa Tigopesa Kwenda kwenye akaunti yangu ya kufanya bashiri (Kampuni Hela Bet) Sasa hiyo FEDHA ikakatwa kwenye...
Nakumbuka ilikuwa alhamis, tulifanya paper mbili siku hyo so tukawa na muda mwingi wa kula pilau, kuagana na waalim na wanafunzi wenzetu na kwenda kuzurura. Wakati wa kuzurura ulipofika sikuwa na...
Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji.
Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10.
Miili ya watu...
Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa.
Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana...
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kisoko, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ninachojiuliza ni kuwa lini utatuzi wa barabara inayounganisha Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini...
Tukio limenikuta muda huu baada ya kusimamishwa na vijana wadogo skauti kwenye chombo changu cha usafiri
Tena huyu skauti alienisimamisha umri wake ni miaka 19/20 halafu ananimbia paki piki piki...
Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi.
Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki.
Dkt. Mwigulu...
Salamu...
Hili lituhusu wote humu bila kujali itikadi zetu mbalimbali.
Taswira ndani ya taifa katika nyanja zote imekuwa ni hovyo sana.
Lengo la ujumbe huu ni kusema mabadiliko ya kweli...
Zimesalia siku 10 pekee kabla ya kukabidhi zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024. Mwaka huu Washiriki walionesha 'Nguvu ya Kalamu' zao kwa mawazo, maoni na michango ya kipekee...
Wanajamvi, habari za mahangaiko.
Naomba kuuliza anaejua mshahara wa mkuu wa idara elimu wilaya kwa upande wa secondary anijuze.
Nataka kujua DEO secondary ni kiasi gani cha mshahara anaweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.