Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
"Mwizi alieba mtaani 500 mnanua mafuta ya 10,000 kumchomea wakati afisa aliewaibia milioni 500 mnaishia kusema tunamwachia Mungu atatupambania" From me eli cohen, Kiboko alistahili kula hela...
2 Reactions
7 Replies
234 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa lililopo mkoani Simiyu Luhaga Mpina akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mpina (Mpina Stadium) Jumapili Agosti 11, 2024. Mpina amesema...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Anonymous (26ef)
Kama mkazi wa mtaa wa Msisiri A, nyuma ya Mahakama ya Kinondoni, nimesikitishwa mno kuona idadi kubwa ya vijana wadogo wakijihusisha na uvutaji wa bangi maeneo ya wazi. Wanavuta bila hofu, bila...
1 Reactions
4 Replies
235 Views
MIAKA HAMSINI YA KISIWA CHA RUKUBA: MAENDELEO NA USTAWI WAKE (1974-2024) Kisiwa cha Rukuba kilitambuliwa na kupewa hadhi ya kijiji Mwaka 1974. Kisiwa hiki ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki. Afu eti imagine kwa...
2 Reactions
7 Replies
537 Views
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili...
33 Reactions
162 Replies
9K Views
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya...
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
30 Reactions
143 Replies
7K Views
Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando...
2 Reactions
11 Replies
639 Views
Anonymous (852d)
Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale...
9 Reactions
23 Replies
904 Views
Nchi imejawa na simanzi kwa mauaji ya kikatili. Kitendi kiovu kilichopindukia mauaji haya ni muendekezo wa vitendo vya kikatili, utekaji na kupotezana. Imesimuliwa kuwa mzee Kibao alitekwa hivi...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu habari ya majukumu Naomba mwenye story ya yule jamaa wa biashara ya Uba antag please nashida nayo
0 Reactions
5 Replies
190 Views
Bakari Ubena - Dw Swahili Kumeibuka hali ya kutia wasiwasi barani Afrika ambapo watu wanaofichua taarifa mbalimbali hawapatiwi ulinzi wa kutosha baada ya kufichua maovu, na mara nyingi watu hao...
2 Reactions
52 Replies
906 Views
Taarifa ya tamko inaeleza kama ifuatavyo👇
0 Reactions
3 Replies
220 Views
Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile. Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei...
1 Reactions
1 Replies
222 Views
Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit." Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na...
5 Reactions
15 Replies
440 Views
Wadau wa jamiiforums habari? Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete. Naombeni mnipe tips za kushinda hii...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka wananchi kutosikiliza maagizo ya waganga wa kienyeji yanayochochea ukatili na udhalilishaji, ikiwemo kubaka, kulawiti na kuua...
2 Reactions
2 Replies
289 Views
Angalieni hii clip wamama wa chadema wamejilipua sijui maeneo yapi. Nani anawapa kichwa https://www.facebook.com/share/r/1Eh3BAuzuS/?mibextid=11tuMg
3 Reactions
8 Replies
261 Views
Back
Top Bottom