Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15. Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅 Usiniulize kafikaje huko, hawa watu...
37 Reactions
251 Replies
26K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
54 Reactions
148 Replies
31K Views
Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya Ngorongoro ili kuendeleza juhudi za uhifadhi za eneo...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga...
2 Reactions
11 Replies
650 Views
Niaje waungwana, Hiki kisa, au tukio lilintokea miaka mingi kidogo. Enzi zile za kwenda kuangalia movie katika vibanda vya video. Sasa siku hiyo nilienda kuangalia video katika banda moja...
96 Reactions
281 Replies
19K Views
Anonymous (0222)
Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Niaje Furaha ndio highest level of success Kuifikia hii furaha mara nyingi ni pale mtu anaweza yaishi maisha yake vile anavyotaka yeye Hapo ndipo mtu anapotakiwa awe na financial freedom ama...
4 Reactions
14 Replies
359 Views
Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin. Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani...
14 Reactions
87 Replies
4K Views
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao)...
23 Reactions
226 Replies
32K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000...
16 Reactions
261 Replies
68K Views
Kituo Cha Afya Usinge kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, Mkoani Tabora, kimefanikiwa kufanya upasuaji wa dharura kwa wajawazito, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kilipoanza kutoa...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua? Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo...
11 Reactions
30 Replies
796 Views
Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari. Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas Taarifa zaidi kukujia.
24 Reactions
230 Replies
12K Views
Nimeona clip ya aliekua anajiita nabii 'kiboko ya wachawi' akitoa kejeli juu ya watanzania waliokua wanalipia kingilio cha laki tano. Naishauri serikali kabla ya kutoa kibali cha mtu anayejiita...
7 Reactions
15 Replies
548 Views
Korea Kaskazini inashutumiwa kuwaadhibu hadharani Wasichana wadogo na Vijana wanaotizama tamthilia au televisheni zilizopigwa marufuku Nchini humo ikiwemo televisheni za Korea Kusini, China na...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada...
2 Reactions
1 Replies
312 Views
Natumaini mpo wazima Jf! Jamani vijana tupambane kutafuta pesa kwa nguvu zote ili tuepuke fedheha ndogondogo, na Pia Mungu humpa kila mmoja ridhiki kwa muda wake. Nimeshuhudia vifo zaidi ya...
19 Reactions
57 Replies
8K Views
Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay, ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?
7 Reactions
70 Replies
15K Views
Back
Top Bottom