Habari zenu wapendwa wa bwana.
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya,tupate mda wa kuwaombe wagonjwa na wenye shida mbalimbali,MUNGU awatangulie amen. Moja kwa moja twende kwenye mada huska...
Maisha halisi ya Gentleman.
1. Gentleman hupendelea kusema ‘tafadhari’ na ‘asante’
2. Gentleman kamwe hawezi kuicheka au kuidharau imani ya wenzake katika dini, siasa, michezo au kitu kingine...
Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi?
Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi...
Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?
Wadau hamjamboni nyote?
Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu?
Aksanteni
Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya!
Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya...
Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka.
Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya...
Suala la utekaji sidhani kama Ally Kibao ni mtu wa kwanza kutoweka na kukutwa akiwa amefariki ila wapo wengi ambao walitekwa na kurudishwa mfano Sativa, Roma na Mo Dewj. Hawa wote ni mashuhuda wa...
Nimeitoa sehemu na mwandishi namba yake kaweka. Mimi nafikisha tu unumbe na mjumbe hauwawi.
HISTORIA YA MRADI WA BBT NA UHUNI UNAONDELE
Mradi wa bbt uliandikwa vijana wa kitanzania waombe...
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na...
Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi...
Habari,
Leo Katika siku tulivu, nilipata muda wa kutafakari juu ya maajabu ya ulimwengu. Niliketi nje, nikisikiliza upepo ukivuma na kutazama anga pana. Katika utulivu huo, swali moja lilinijia...
Mada hapo juu wakuu.
Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada
https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-nbc-wajirekebishe-watakuja-kuua-watu-kwa-presha.2213335/
Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa...
Nikiwa mkazi wa mwanza na mdau wa bank ya NMB sijaridhishwa na zoezi linaloendelea la kuboresha taarifa za wateja wa bank hii.
Tangu mwezi wa 7 bank ya NMB katika matawi yake ya Mwanza imekua...
Mrejesho wakuu nilileta hapa uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika...
This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema...
Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.